Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Leo 😬
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa Leo hakufaileo hakufai
Huo ugunduzi utazaa ugunduzi na ugunduzi usio na maana hiyo ndo betting.View attachment 3245648
Sijui kama nitarudia kubet,nimenyoosha mikono juu
Nimegundua kinachonirudisha kwenye huu ujinga ni kuwa na hela kwenye simu,sahivi nitaanza kuweka hela kwenye account za bank
Nimegundua kadi nyekundu zinaongoza kuharibu ubashiri sana,ukibeti mechi kuanzia 15 hutakosa mechi ambayo kutakuwa na kadi nyekundu
Pole mkuu, hebu msikilize huyu jamaaView attachment 3245648
Sijui kama nitarudia kubet,nimenyoosha mikono juu
Nimegundua kinachonirudisha kwenye huu ujinga ni kuwa na hela kwenye simu,sahivi nitaanza kuweka hela kwenye account za bank
Nimegundua kadi nyekundu zinaongoza kuharibu ubashiri sana,ukibeti mechi kuanzia 15 hutakosa mechi ambayo kutakuwa na kadi nyekundu
Jicho la leo
Man U kwasasa hatabiriki kabisaaaaaa, muombe bao moja tu
Away team Over 0.5
Odd 1.45
Aseno wako vizuri wanacheza na mchovu West Ham mwenye ukuta mbovu
Muombe Aseno bao 2
Home team Over 1.5 Odd 1.44
Atletico Madrid ana form nzuri na kutokana na Madrid na Barca kuangusha angusha alama kunamfanya anakaza sana labda anaweza kuambulia ubingwa
Mfuate kwa Double chance
2X Odd 1.25
Mamelodi Vs Ts Galaxy, hapa hakuna kumungunya maamamuzi nikumfuata Mamelodi mazima ukizingatia yupo nyumbani
Home team Win. Odd 1.6
Les Parma wako hoi ni ngumu kuzuia mziki wa Barca anasukumana na Madrid na Atletico kwenye mbio za ubingwa La Liga
Mfuate Barca mazima
Away team win Odd 1.24
Jumla Odd 5+
A5ALG - 1Xbet Code
Tia mzigo kisha subiri maajabu ya matokeo ya mpira ili uje kunishukuru/laumu maadae
Unawaambia nini waliousikiliza ushauri wako?Naangalia mechi ya Inter hapa. Kama kuna mtu anamsubiri yeye nashauri acashout mapema.
Oooh muombe Aseno bao 2 yuko form 👀Jicho la leo
Man U kwasasa hatabiriki kabisaaaaaa, muombe bao moja tu
Away team Over 0.5
Odd 1.45
Aseno wako vizuri wanacheza na mchovu West Ham mwenye ukuta mbovu
Muombe Aseno bao 2
Home team Over 1.5 Odd 1.44
Atletico Madrid ana form nzuri na kutokana na Madrid na Barca kuangusha angusha alama kunamfanya anakaza sana labda anaweza kuambulia ubingwa
Mfuate kwa Double chance
2X Odd 1.25
Mamelodi Vs Ts Galaxy, hapa hakuna kumungunya maamamuzi nikumfuata Mamelodi mazima ukizingatia yupo nyumbani
Home team Win. Odd 1.6
Les Parma wako hoi ni ngumu kuzuia mziki wa Barca anasukumana na Madrid na Atletico kwenye mbio za ubingwa La Liga
Mfuate Barca mazima
Away team win Odd 1.24
Jumla Odd 5+
A5ALG - 1Xbet Code
Tia mzigo kisha subiri maajabu ya matokeo ya mpira ili uje kunishukuru/laumu maadae 😂
Always stake what you can afford to lose 🙏🙏🙏
Tuletee mchanganuo wako leoOooh muombe Aseno bao 2 yuko form 👀
Naruka mkojo kwa Maniyuu nakanyaga kinyesi kwa Aseno
Leo nayo siku