Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ushauli wakamalia naona Madrid yupo na 1.30 nashida na 30k nataka nitie laki nimfuate mazima madrid vp hapo mnamuonaje madrid
 
Ushauli wakamalia naona Madrid yupo na 1.30 nashida na 30k nataka nitie laki nimfuate mazima madrid vp hapo mnamuonaje madrid
Mkuu we lipuka tu kama vipi
Hiyo game Madrid ana nafasi kubwa ya kushinda

Tatizo ni kwamba hakunaga game ya 100% sure kwamba itatoa

Wish you luck
 
ila siku hizi kampuni za betting zimefanya ushindi uwe mgumu hata kwa timu kubwa....
napoli akishinda leo anakua wa 1 kwenye ligi lakini dk ya 84 keshakufa 1-2 dah.
 
Ule mkeka wa kwanza niliotuma humu asubuhi unaelekea pazuri sana. Nawashauri msiwe mnakimbilia odds nyingi. Maximum odds 3
 
Ukitafuta odds nyingi maana yake unatakiwa kuweka mechi nyingi na hapo probability ya timu moja kuharibu na treni lote kuanguka ni kubwa. Betting is mathematics! Kwani ukiwa na odds mbili kwenye mkeka wako wenye uhakika wa asilimia tisini kuna ubaya gani? Maana kwa mfano ukiweka stake ya elfu kumi unapata elfu kumi faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…