Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna siku nilipost mkeka hapa,
Kuna jamaa akareply kuwa kinachotufelisha ni tamaa za kupata hela kubwa wakat umeweka hela ndogo.

Ngumu sana kupata 50* ya hela unayoweka.

Ila hizi odds 2 hadi 5. Tunaweza.

Nadhan inahitaj ukomavu wa kushinda tamaa.

Ni kama vile Mwanaume yule ambaye haendekezi Umalaya. Hela yale ataiona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…