Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Mkuu kwani unaposikia analysis kwenye betting unadhani huwa ina maanisha nini?Hakuna cha analysis wala analususu mjomba betting ni mchezo wa kuliwa tu cha muhimu usiwekeze kama ndo biashara yako utalia wewe bet kujifurahisha tu ile hela ambayo wanywa bia au wavuta sigara hutumia kwa hizo starehe zao na wewe betting iwe starehe yako unatia vibuku au vijero kulingana na kipato chako kuna siku utaokota hela ya supu utashukuru lakini hii si biashara.
Kwa ufupi ni kwamba option yoyote utakayo chagua lazima kuna sababu imekushawishi kufanya hivyo...... hizo sababu ndio analysis yenyewe
Analysis haimaanishi ikifanyika NILAZIMA itatoa matokeo CHANYA