Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hakuna cha analysis wala analususu mjomba betting ni mchezo wa kuliwa tu cha muhimu usiwekeze kama ndo biashara yako utalia wewe bet kujifurahisha tu ile hela ambayo wanywa bia au wavuta sigara hutumia kwa hizo starehe zao na wewe betting iwe starehe yako unatia vibuku au vijero kulingana na kipato chako kuna siku utaokota hela ya supu utashukuru lakini hii si biashara.
Mkuu kwani unaposikia analysis kwenye betting unadhani huwa ina maanisha nini?

Kwa ufupi ni kwamba option yoyote utakayo chagua lazima kuna sababu imekushawishi kufanya hivyo...... hizo sababu ndio analysis yenyewe

Analysis haimaanishi ikifanyika NILAZIMA itatoa matokeo CHANYA
 
Analysis ni uchambuzi, sawa. Na katika mpira uchambuzi hauku-garantee moja kwa moja kupata motokea sawa kama ulivyo chambua na katika betting hata uchambue vipi hakukupi uhakika wa 100% kushinda na ndio mana nikawambia betting haiwezi kua chanzo chako cha mapato na ukitaka kugeuza kiwe chanzo chako cha mapato lazima utapata mental illness.
 
Muhindi ulimgonga vimilioni kadhaa nini?
 
No kaka nataka nijione jinsi nilibokuwa mjinga wa mwisho kuliwa laki 1 ivo tu
Mm naweza kaka.
Nicheck inbox nikueleweshe how.

Kuna kipind invoice nilikuwa nabadilisha some info na kuzitoa tena, nagonga muhuri napeleka Store na mzigo unatoka mwing zaid na cha juu nilikuwa nakula.

Kuja kufanya reconciliation ni mwaka mmoja mbele , mm nishaacha kazi 😂😂😂😂.
 
-b76ois.jpg

Code👉 D86H4

Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Bure Ukideposit.

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code👉 TIPS2424
 
Mm naweza kaka.
Nicheck inbox nikueleweshe how.

Kuna kipind invoice nilikuwa nabadilisha some info na kuzitoa tena, nagonga muhuri napeleka Store na mzigo unatoka mwing zaid na cha juu nilikuwa nakula.

Kuja kufanya reconciliation ni mwaka mmoja mbele , mm nishaacha kazi 😂😂😂😂.
Kuna kipindi M bet system yao ilikua kama imeyumba ivi. Sasa kuna jamaa mmoja cashier alishtukia maana ilikua akimprintia mteja mkake alikua na uwezo akauprint zaid ya mara kumi kwa hela ile ile. Sasa alichokua anafanya anatufuta mechi yenye uhakika 99.9% eg beyern ile ya balaa Vs na kibonde odd ina weza ikawa 1.12 sasa yeye hapo anatia laki alafu ana urdia rudi zaidi ya mara kumi kwa dau hilo hilo moja na ukitiki inatiki mikeka yote let's aliweka mikeka kumi hapo anadraw milion na kitu. Jamaa alipiga sana hela hadi wanakuja kustuka kashapiga zaid ya milion 30.
 
Oy family anayejua namna ya ku edit mechi kama awa wapuuzi anielekeze tafadhali
View attachment 3249038
FOR EDUCATIONAL PURPOSE ONLY:
matapeli wanatumia apps kuedit won tickets. kuna apps nyingi sana za kuedit mikeka. apps za kuedit mikeka zinafahamika kama HTML EDITORS au WEB EDITORS. kuzipata, google neno HTML EDITOR.

nitakuelekeza kwa kutumia app ya web editor, idownload kwenye link hapo chini:

JINSI YA KUITUMIA:
-install hiyo app ya web editor
-ingia betPawa kwa kutumia browser iliyo ndani ya app ya web editor
-sasa edit ticket kwa kutumia web editor (kuedit won ticket, unatakiwa utumie ticket ulizoshinda. huwezi kutumia lost ticket kupata edited won ticket)
-ukishamaliza kuedit ticket, iscreenshot upate edited ticket kwa ajili ya kuishea.
 
Leo siku ya ushindi weka kama ifuatavyo.
*BRIGHTON VS BOURNEMOUTH
BB: Over 1.5 magoli
Over 8.5 corner
*WOLVES VS FULLHAM
BB: Over 1.5 magoli
Over 7.5 corner
*BARCELONA VS ATLETICO M
BB: Over 1.5 magoli
Over 7.5 corner
CELTIC VS ABERDEEN
BB: Celtic Win
Over 2.5 magoli
CRYSTAL P VS A.VILLA
Over 1.5 magoli.
Hapo zaid ya odds 7 na 99.9% uhakika.
Uchambuzi mzuri, asante kwa kushare hapa.
 
MKEKA WA LEO
1.Al Hilal SFC v Al-Kholood

Bet: Al Hilal SFC wanashinda leo.

2. Celtic Glasgow v Aberdeen FC

Bet: Celtic Glasgow wanazibua mtu

3. Chelsea FC v Southampton FC

Bet: Chelsea FC wanaingiza hela leo.

.............
Ndugu yaani bado unaujasiri wa kuiweka Chelsea kwenye mikeka?
Achana nayo kabisa.
 
FOR EDUCATIONAL PURPOSE ONLY:
matapeli wanatumia apps kuedit won tickets. kuna apps nyingi sana za kuedit mikeka. apps za kuedit mikeka zinafahamika kama HTML EDITORS au WEB EDITORS. kuzipata, google neno HTML EDITOR.

nitakuelekeza kwa kutumia app ya web editor, idownload kwenye link hapo chini:

JINSI YA KUITUMIA:
-install hiyo app ya web editor
-ingia betPawa kwa kutumia browser iliyo ndani ya app ya web editor
-sasa edit ticket kwa kutumia web editor (kuedit won ticket, unatakiwa utumie ticket ulizoshinda. huwezi kutumia lost ticket kupata edited won ticket)
-ukishamaliza kuedit ticket, iscreenshot upate edited ticket kwa ajili ya kuishea.
Nashauri msiingie kwenye hii link na link zingine zinazowekwa humu zinazofanana na hizi.
Waweza ishia device yako kuwa compromised.
 
Ukifanya analysis yako vizuri ukapata mechi zisizozidi nane zenye uhakika na odds zisizozidi 3 mara nyingi utakuwa unafanikiwa. Let's say umeweka mikeka mitano kila mkeka shilingi elfu tano na odds 2 halafu mikeka mitatu ikakubali miwili ikachanika bado una faida
Lakini cycle ya odds mbili kila weekend lazima umalize mwaka na hasara. Haziwezi enda wiki 3 mfufulizo hao big teams mmoja hajachana mkeka.
 
MKEKA WA LEO
1.Al Hilal SFC v Al-Kholood

Bet: Al Hilal SFC wanashinda leo.

2. Celtic Glasgow v Aberdeen FC

Bet: Celtic Glasgow wanazibua mtu

3. Chelsea FC v Southampton FC

Bet: Chelsea FC wanaingiza hela leo.

.............
Al hilal gg
Cletic ov 2.5
Chelsea ov 2.5
Ongezea hio
 
MKEKA WA LEO
1.Al Hilal SFC v Al-Kholood

Bet: Al Hilal SFC wanashinda leo.

2. Celtic Glasgow v Aberdeen FC

Bet: Celtic Glasgow wanazibua mtu

3. Chelsea FC v Southampton FC

Bet: Chelsea FC wanaingiza hela leo.

.............
Al hilal gg
Cletic ov 2.5
Chelsea ov 2.5
Ongezea hio
 
Analysis ni uchambuzi, sawa. Na katika mpira uchambuzi hauku-garantee moja kwa moja kupata motokea sawa kama ulivyo chambua na katika betting hata uchambue vipi hakukupi uhakika wa 100% kushinda na ndio mana nikawambia betting haiwezi kua chanzo chako cha mapato na ukitaka kugeuza kiwe chanzo chako cha mapato lazima utapata mental illness.
Kwahiyo SATIVA17 yupo na mental illness? 😄
 
Back
Top Bottom