Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
ushauri mzuri.Nashauri msiingie kwenye hii link na link zingine zinazowekwa humu zinazofanana na hizi.
Waweza ishia device yako kuwa compromised.
Al hilal gg
Cletic ov 2.5
Chelsea ov 2.5
Ongezea hio
Inatema hela hiyo leo mzee. Mechi ikiisha ntakurudia hapaNdugu yaani bado unaujasiri wa kuiweka Chelsea kwenye mikeka?
Achana nayo kabisa.
Uje uweke sasa hela hata laki mbili kuwa coastal union hatoi magoli matano ndo siku hyo utashangaa magoli yanaingia kama netball we betting ni noma Aisee tushafanya kila njia ila wapi watu tuna miaka zaidi ya kumi kwenye betting tunajua huu mchezo sio poa! We unasema odd 2 sijui tatu za uhakika wakati watu tunatafutaga odd 1.3 Tu kwa gem mbili au tatu ila tunaliwa itakuwa wewe wa sijui mechi nane! Siku ukila jua ni bahati yako tu ila usione kuwa umemuweza kanji! Kanji kazi yake ni kula tu yeye kashatuzidi kimahesabu tunacheza kwenye mfumo wake! THE HOUSE ALWAYS WIN!Naheshimu mawazo yako lakini nikuulize kuna possibility ya simba kufungwa na coastal union goli tano kwa sifuri?
Leta kaka, tujilipueMpo poa maafisa? Kwa muda sasa niliachana na app ya betpawa baada ya kuondoa zile bonasi,
Sasa nimerudi tena nitaleta sgr zilizoborshwa ili tupige pesa au mnaonaje?
Stay tune.
Pamba anaweza tu kushinda Braza tusijipe uhakika sana! Mpira bana sasa ushakuwa kama ushetan! Yan siku ukiweka hela tena hela ndefu ndo unaliwaSasa Ijumaa Young Africans anacheza na Pamba
Sasa mpe Pamba ashinde
Mi nimechelewa kuyajua hayaKaka huko Italy kwenye maswala ya kupanga matokeo huwa wanajivua ubinadamu kabisa. Ushahidi kwenye mamlaka yao ya soka.
Chelsea itoe kwenye mikeka, timu imeshapoteana kabisa msimu huu.Al hilal gg
Cletic ov 2.5
Chelsea ov 2.5
Ongezea hio
Pia celtic best option kwake ni win.Al hilal gg
Cletic ov 2.5
Chelsea ov 2.5
Ongezea hio
Kwa ile mitusi ya Sativa wewe unafikiri yule yupo sawa?Kwahiyo SATIVA17 yupo na mental illness? π
Hawa wamevamia fani hawajui tupo kwenye game kitambo tumeshafanya kila aina ya uchambuzi ila hola mpaka sasa mimi nabet for funny na sio kutaka kutusua.Uje uweke sasa hela hata laki mbili kuwa coastal union hatoi magoli matano ndo siku hyo utashangaa magoli yanaingia kama netball we betting ni noma Aisee tushafanya kila njia ila wapi watu tuna miaka zaidi ya kumi kwenye betting tunajua huu mchezo sio poa! We unasema odd 2 sijui tatu za uhakika wakati watu tunatafutaga odd 1.3 Tu kwa gem mbili au tatu ila tunaliwa itakuwa wewe wa sijui mechi nane! Siku ukila jua ni bahati yako tu ila usione kuwa umemuweza kanji! Kanji kazi yake ni kula tu yeye kashatuzidi kimahesabu tunacheza kwenye mfumo wake! THE HOUSE ALWAYS WIN!
Mwaka juzi septemba katikati mechi karibia zote za ligi kubwa zilitoa matokeo tarajiwa.Hawa wamevamia fani hawajui tupo kwenye game kitambo tumeshafanya kila aina ya uchambuzi ila hola mpaka sasa mimi nabet for funny na sio kutaka kutusua.