Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 1,047
- 1,903
ushauri mzuri.Nashauri msiingie kwenye hii link na link zingine zinazowekwa humu zinazofanana na hizi.
Waweza ishia device yako kuwa compromised.
hiyo app sijatengeneza mimi na wala mimi siyo developer. sipo kwa ajili ya kuhack account za watu wala kuwaibia watu.
kama hiyo link niliyoweka hapo juu kuna mtu ana wasiwasi nayo, aende playstore adownload html/web editor yoyote ile.
nimemuelekeza Poor boy kwa jinsi alivyouliza.