Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mechi ya under 19 kati ya Salzburg na Athletic Madrid! Kwa kukuza vijana wakali na kuwauza Salzburg wako vizuri wana vijana wazuri na wapo home Kama una roho ndogo wape watoe goli moja wenyewe over 0.5 wana odd 1.21
Halafu kuna mechi ya Bunley na Cadif hapo England Championship kama kawaida Bunley kufungwa ni Ngum sana na anataka kukomaa apande daraja arudi ligi kuu hivyo mpe win or draw hawez kufungwa ana odds 1.21.
Nenda pale Uefa kuna Deby ya real Madrid na Athletic Madrid mpe Real Madrid win or draw ana odds 1.25
Nenda pale kwa matajiri wa Africa ligi ya Misiri kuna Zamalek anacheza pale mpe win or draw! Ukijumlisha hapo unapata odds 2+ weka mzigo tulia usiongeze timu usipunguze timu! Hapa kanji anakaa!
 
Kuna kipindi mwindi anakupa hela mpaka unaona betting ni kazi rahisi sana.
Akiamua kukuhukumu unakuta mpaka 1.13 zinachana.
ukiwin mfululizo. wanaolalamika wameliwa unawaona hawajui kitu, kimoyomoyo unasema "hawa wasenge vipi?, kubet rahisi lakini wanalialia"
 
wazee wa kurocha hili la leo leo
5CCLZ8 - sportybet
usicheze mbali na cashout
 
ukiwin mfululizo. wanaolalamika wameliwa unawaona hawajui kitu, kimoyomoyo unasema "hawa wasenge vipi?, kubet rahisi lakini wanalialia"
Kuna kipindi mwezi uliopita nilikula mfululizo mpaka muda mwingine nikaikuta 40,000 imezagaa tu kwenye akaunti nilikuwa nimeisahau.

Kuifatilia kumbe nilikuwa nimebeti odds 4, timu 2 mojawapo zilionesha dalili zote za kuchana kwa hiyo nikaachana na hiyo akaunti. Kumbe zote zilikuja kutiki dakika za nyongeza mimi nilishajikatia tamaa.
 
Kwa uzoefu wangu nilionao.

Mechi ya PSV vs Arsenal sio ya kuweka kwenye mkeka.

Mara ya mwisho wali draw 1 : 1
 
Moja ya koment iliyowahi kunifurahisha hapa jf
 
Kaka hii paripesa unaipigia upatu sana. Nimejisajili lakini mbona ukifungua link inazunguka tu. Mbaya zaidi nimetia 70k yangu humo.
Inazungukaje mkuu? Hiyo itakuwa tatizo la mtandao wako mkuu. Kama unaona inaload tu jua ni mtandao wako wa internet uko Chini, kama unatumia web download app ya PariPesa Hapa πŸ‘‰https://cutt.ly/EwZzWppF
 
Labda kweli ni mtandao maana hata hii link haifunguki
Mimi nimebonyeza link hiyo niliyo Weka hapo juu imefunguka na kutaka ni download. Kama unavyo ona kwenye picha πŸ‘‡. Jaribu ku flight mode on then off flight mode. Au tumia mtandao wenye kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…