Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nadhani shida iko hapa..... Nilitoa Kwa KUTUMIA line ya Tigo ila nloitumia KUSAJILI account huko ni voda.... Weomba uthibitisho wa namba kama ni zangu zote nimewapa... Wameomba NIDA nimewapa wamehitaji kitambulisho Cha ziada nimewapa hawajanijibu tangu tarehe 25/02.
Kuta unasikiliza ule wimbo unaitwa "kosa la marehemu" uku ukivuta muda
 
Nadhani shida iko hapa..... Nilitoa Kwa KUTUMIA line ya Tigo ila nloitumia KUSAJILI account huko ni voda.... Weomba uthibitisho wa namba kama ni zangu zote nimewapa... Wameomba NIDA nimewapa wamehitaji kitambulisho Cha ziada nimewapa hawajanijibu tangu tarehe 25/02.
Nadhani hapo ndo kulikuwa na changamoto kutoa tofauti na mtandao uliojisajilia
 
OFFSIDES
 
Attachments

  • Screenshot_20250304_093502_Helabet.jpg
    Screenshot_20250304_093502_Helabet.jpg
    176.7 KB · Views: 2
UKITAKA KUBETI NA KUSHINDA MARA NYINGI ZAIDI BETI HIZI OPTIONS.
1 ) Corner
2 ) Fouls
3 ) Ball Possessions
4 ) Shots
5 ) Throw-ins

ILA UKITAKA KUBETI NA KUWA NA UHAKIKA WA KUSHINDA ZAIDI BASI BETI.
1 ) Tackes
2 ) Dribbling
3 ) Interceptions
4 ) Aerial Won

@By TIPS MASTER
sasa mkuu hizo options za takles,Dribbling,interceptions na aerial won zina maana gani.. kwani sio vema kucheza options ambazo huzijui au huzielewi vizuri..embu tufafanulie hizo twende sawa
 
Iyo kampuni enzi hizo nikipiga hela sana kwa njia ya affiliate nakumbuka links nilikuwa natupia hum watu wanajiunga ila ss pesa yote niliyokuwa nalipwa kama kamisheni zilikuwa zinaishia humo humo kwenye kubet naliwa, hasa siku za wikendi ambapo watu wanabet sana nilikuwa sikosi laki ya kamisheni. Biashara ilikuja kufa baada ya kuwekewa zengwe na makampun ya ndani watu wakapungua kubet sababu njia ya malipo kwa sim zilikuwa zinaondolewa mara kwa mara ikaishia hivyo
Kuna wengine ndio kazi yao humu, wengine wanatafuta odds kwa ajili ya vita na kupata hela kwa mhindi, wengine kutwa kuleta links ili wale hela ya mbetiji.

Hata mimi nishawahi kula 70,000 ya affiliate 1xbet but sikuweza mkazo sana kwamba ndio source of inc9me.
 
nakumbuka kwenye chain yangu ya affiliate zilikuwepo zaidi ya account 100 zinazonigawia kamisheni, bahati mbaya sikuwahi kuwithdraw hata mia zote zilikuwa zinaishia humo ndio ujue kamari ni sumu ya maendeleo ya mtu
 
yaani hata ukiweka mechi ichezwe utakuta imegairishwa unaliwa
Hahaha! Dah! Yaani mpaka unashangaa.

Unaona labda unaliwa kwa sababu unabeti pre match, unaamua uhamie kwenye live.
Unaikuta mechi ipo dakika ya 86 na matokeo ni 0:0.
Unaamua kubeti under 1.5 odds 1.11.
Ukibonyeza tu, dakika ya 87 goli na dakika ya 90 goli.
Yaani hapo lazima utukane kwa sauti hata kama uko peke yako.
 
Back
Top Bottom