Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuta unasikiliza ule wimbo unaitwa "kosa la marehemu" uku ukivuta mudaNadhani shida iko hapa..... Nilitoa Kwa KUTUMIA line ya Tigo ila nloitumia KUSAJILI account huko ni voda.... Weomba uthibitisho wa namba kama ni zangu zote nimewapa... Wameomba NIDA nimewapa wamehitaji kitambulisho Cha ziada nimewapa hawajanijibu tangu tarehe 25/02.
Nadhani hapo ndo kulikuwa na changamoto kutoa tofauti na mtandao uliojisajiliaNadhani shida iko hapa..... Nilitoa Kwa KUTUMIA line ya Tigo ila nloitumia KUSAJILI account huko ni voda.... Weomba uthibitisho wa namba kama ni zangu zote nimewapa... Wameomba NIDA nimewapa wamehitaji kitambulisho Cha ziada nimewapa hawajanijibu tangu tarehe 25/02.
sasa mkuu hizo options za takles,Dribbling,interceptions na aerial won zina maana gani.. kwani sio vema kucheza options ambazo huzijui au huzielewi vizuri..embu tufafanulie hizo twende sawaUKITAKA KUBETI NA KUSHINDA MARA NYINGI ZAIDI BETI HIZI OPTIONS.
1 ) Corner
2 ) Fouls
3 ) Ball Possessions
4 ) Shots
5 ) Throw-ins
ILA UKITAKA KUBETI NA KUWA NA UHAKIKA WA KUSHINDA ZAIDI BASI BETI.
1 ) Tackes
2 ) Dribbling
3 ) Interceptions
4 ) Aerial Won
@By TIPS MASTER
Kweli azifafanuesasa mkuu hizo options za takles,Dribbling,interceptions na aerial won zina maana gani.. kwani sio vema kucheza options ambazo huzijui au huzielewi vizuri..embu tufafanulie hizo twende sawa
Kuna wengine ndio kazi yao humu, wengine wanatafuta odds kwa ajili ya vita na kupata hela kwa mhindi, wengine kutwa kuleta links ili wale hela ya mbetiji.Iyo kampuni enzi hizo nikipiga hela sana kwa njia ya affiliate nakumbuka links nilikuwa natupia hum watu wanajiunga ila ss pesa yote niliyokuwa nalipwa kama kamisheni zilikuwa zinaishia humo humo kwenye kubet naliwa, hasa siku za wikendi ambapo watu wanabet sana nilikuwa sikosi laki ya kamisheni. Biashara ilikuja kufa baada ya kuwekewa zengwe na makampun ya ndani watu wakapungua kubet sababu njia ya malipo kwa sim zilikuwa zinaondolewa mara kwa mara ikaishia hivyo
nakumbuka kwenye chain yangu ya affiliate zilikuwepo zaidi ya account 100 zinazonigawia kamisheni, bahati mbaya sikuwahi kuwithdraw hata mia zote zilikuwa zinaishia humo ndio ujue kamari ni sumu ya maendeleo ya mtuKuna wengine ndio kazi yao humu, wengine wanatafuta odds kwa ajili ya vita na kupata hela kwa mhindi, wengine kutwa kuleta links ili wale hela ya mbetiji.
Hata mimi nishawahi kula 70,000 ya affiliate 1xbet but sikuweza mkazo sana kwamba ndio source of inc9me.
Kuna kipindi mwindi anakupa hela mpaka unaona betting ni kazi rahisi sana.Hapo safi. Mhindi anasiku ya tano sasa kawa rafiki yangu. Ananipa hela ndogo ndogo za kutumia kila siku
yaani hata ukiweka mechi ichezwe utakuta imegairishwa unaliwaKuna kipindi mwindi anakupa hela mpaka unaona betting ni kazi rahisi sana.
Akiamua kukuhukumu unakuta mpaka 1.13 zinakata
Hahaha! Dah! Yaani mpaka unashangaa.yaani hata ukiweka mechi ichezwe utakuta imegairishwa unaliwa
Sawa mkuuIsipofika vumilia itarudishwa then fanya hivyo