Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,237
- 3,769
Moja ya koment iliyowahi kunifurahisha hapa jfHahaha! Dah! Yaani mpaka unashangaa.
Unaona labda unaliwa kwa sababu unabeti pre match, unaamua uhamie kwenye live.
Unaikuta mechi ipo dakika ya 86 na matokeo ni 0:0.
Unaamua kubeti under 1.5 odds 1.11.
Ukibonyeza tu, dakika ya 87 goli na dakika ya 90 goli.
Yaani hapo lazima utukane kwa sauti hata kama uko peke yako.