Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Eti hawa wote ni 1xbet tofauti yao ni rangi tu 🤣 kweli usilolijua nikama usiku wa giza hizo ni kampuni tofauti na wamiliki ni tofauti. Ila wananunua sportbook moja na Theme moja hata wewe ukiwa na kampuni yako ukinunua hiyo Theme wanakuuzia. Zote hizo zina leseni ya Curacao
Swali ni je hawazingui mifumo ya MALIPO nshaogopa sasa
 
haya mambo mnajitakia tu huko 1xbet mnafata nini wakati kampuni mfanano na hio 1xbet zimejaa kibao hapa nchini na unadeposit na kuwithdrawal kwa tigo pesa,airtel na m pesa hapa bongo kuna wanaokata kodi helabet na betwinner..wasio kata kodi kabisa ni Linebet,888starz na DBbet..na hawa wote ni 1xbet vile vile tofauti yao rangi tu..na hivi umetoa million 1 huko 1xbet subiri kuambiwa piga picha kitambulisho utume whatssap mara jipige selfie ukiwa umeshika kitambulisho usawa wa uso hao jamaa acha tu.!
Je kampuni ulizotaja hawasumbui
 
Tafuta wakala akuwekee walau buku kumi, then tafuta odds ya kuanzia 1.1 weka mzigo wote uliopo kwenye akaunt yako, ukishinda nenda kwa wakala toa hela yako itatoka fresh
Hii njia sio nzuri wewe weka buku kwa wakala kisha betia buku usiliwe hiyo buku nakuhakikishia unatoa hizo milioni zako usiweke hizo milioni weka buku kwa wakala kisha betia hiyo buku sio zile milioni nimerudia na kuludia ukifel ukaliwa huyo buku weka tena buku mpaka ule then utatoa pesa zako zote bila blah
 
haya mambo mnajitakia tu huko 1xbet mnafata nini wakati kampuni mfanano na hio 1xbet zimejaa kibao hapa nchini na unadeposit na kuwithdrawal kwa tigo pesa,airtel na m pesa hapa bongo kuna wanaokata kodi helabet na betwinner..wasio kata kodi kabisa ni Linebet,888starz na DBbet..na hawa wote ni 1xbet vile vile tofauti yao rangi tu..na hivi umetoa million 1 huko 1xbet subiri kuambiwa piga picha kitambulisho utume whatssap mara jipige selfie ukiwa umeshika kitambulisho usawa wa uso hao jamaa acha tu.!
Hata hizo ulizotaja hapo ukila kiasi kikubwa unaambiwa hivyo kama haikuwa umeja hizo taarifa, mimi shaifu, kifupi ni kuwa kampuni zinazotumia wakala penda kutumia wakala kuliko njia za simu niliwahi mix njia za kuweka na kutoa kwa simu nikaambiwa kujaza hizo detail nilitumia NIDA tu pesa ikatoka
 
Iyo kampuni enzi hizo nikipiga hela sana kwa njia ya affiliate nakumbuka links nilikuwa natupia hum watu wanajiunga ila ss pesa yote niliyokuwa nalipwa kama kamisheni zilikuwa zinaishia humo humo kwenye kubet naliwa, hasa siku za wikendi ambapo watu wanabet sana nilikuwa sikosi laki ya kamisheni. Biashara ilikuja kufa baada ya kuwekewa zengwe na makampun ya ndani watu wakapungua kubet sababu njia ya malipo kwa sim zilikuwa zinaondolewa mara kwa mara ikaishia hivyo
Shuke ulienda kusomea ujinga? Alichouliza mtoa mada na ulichoandika na vitu viwili tofauti🚮
 
Niliwahi kubeti Kupitia App ya betway, nikaweka stake vizuri Bahati nzuri mkeka ukatili. Kutoa pesa ikawa kasheshe, nilikaa kama wiki nikaona muamala wa pesa umeingia wanipa pesa.
Sikurudia Tena kubetia hiyo kampuni 🚮
Wabongo bhana, ni wapumbavu sana kama huyu hapa, jibu alichouliza mtoa mada
 
HABARI... MSAADA WENU TAFADHALI.

Tarehe 13/02/2025 nilitoa fedha Kwa njia ya Tigo Pesa kutoka kwenye account yangu ya 1x bet na mpaka sasa pesa hiyo sijaipata.

Mpaka sasa kilichopo ni ujumbe huu "Approved (please wait to receive the final status from the payment system)"

Na ukiufungua wananambia "Transaction is being processed. Awaiting operator confirmation"

Nimecheki nao Kwa email hawajibu, ukirequest wakupigie wanakupigia ila MWISHO hawana msaada wanakuelekeza KUFANYA mawasiliano Kwa njia ya email.

Nimestuck na matumaini ya kuzipata fedha zangu yanapungua note. Ni zaidi ya 1 million.
1Xbet bado wanafanya deposit kwa tgo pesa?
 
Hata hizo ulizotaja hapo ukila kiasi kikubwa unaambiwa hivyo kama haikuwa umeja hizo taarifa, mimi shaifu, kifupi ni kuwa kampuni zinazotumia wakala penda kutumia wakala kuliko njia za simu niliwahi mix njia za kuweka na kutoa kwa simu nikaambiwa kujaza hizo detail nilitumia NIDA tu pesa ikatoka
kweli aisee..bila kujaza kikamilifu personal profile watakusumbua sana..sema wengi wetu tukishajisajili ile one click hatuendi kujaza majina kamili kule personal profile ndio mwanzo wa shida zote hizi ila kwa wale waliopakumbuka kujaza ile sehemu mambo ni fasta tu kwenye mambo ya fedha..sijui kama mtoa mada nae kama alijaza ile personal profile na kama hakujaza basi kazi anayo itabidi wasumbuane sana.
 
Eti hawa wote ni 1xbet tofauti yao ni rangi tu 🤣 kweli usilolijua nikama usiku wa giza hizo ni kampuni tofauti na wamiliki ni tofauti. Ila wananunua sportbook moja na Theme moja hata wewe ukiwa na kampuni yako ukinunua hiyo Theme wanakuuzia. Zote hizo zina leseni ya Curacao
kwahiyo ww shida yako nini..sisi hatuna haja ya kujua ni nani mmiliki wa kampuni..au hao wanaongaika hadi huko 1xbet unafikiri wanatafuta nini.. sisi shida yetu ni kampuni ipi ina machaguo mengi na options nyingi walau na ww unaweza kula mara kwa mara sio kuliwa na wa bongo kina m bet na betpawa kila siku kisa hawana options nyingi wanabana sana kiasi nafasi yako ya kushinda inakuwa finyu..hayo mambo eti nani mmiliki wa hizo kampuni nakuachia ww sisi tunataka options nyingi za kuchagua tuwin mapesa na hizi kampuni zinajitahidi eneo hili nasi tunapata pata visent.
 
Hii njia sio nzuri wewe weka buku kwa wakala kisha betia buku usiliwe hiyo buku nakuhakikishia unatoa hizo milioni zako usiweke hizo milioni weka buku kwa wakala kisha betia hiyo buku sio zile milioni nimerudia na kuludia ukifel ukaliwa huyo buku weka tena buku mpaka ule then utatoa pesa zako zote bila blah
Hii hela haipo Kwa account yangu washaikata ila haijafika kwangu mkuu....
 
Hata hizo ulizotaja hapo ukila kiasi kikubwa unaambiwa hivyo kama haikuwa umeja hizo taarifa, mimi shaifu, kifupi ni kuwa kampuni zinazotumia wakala penda kutumia wakala kuliko njia za simu niliwahi mix njia za kuweka na kutoa kwa simu nikaambiwa kujaza hizo detail nilitumia NIDA tu pesa ikatoka
Nadhani shida iko hapa..... Nilitoa Kwa KUTUMIA line ya Tigo ila nloitumia KUSAJILI account huko ni voda.... Weomba uthibitisho wa namba kama ni zangu zote nimewapa... Wameomba NIDA nimewapa wamehitaji kitambulisho Cha ziada nimewapa hawajanijibu tangu tarehe 25/02.
 
Je kampuni ulizotaja hawasumbui
hawasumbui kabisa pesa unaipata on time..mm natumia 888starz na betwinner wako poa kwenye miamala..ila nawe ukishajisajili ukumbuke kwenda my account alafu ujaze pale personal profile..ndomana huko 1xbet wanakuzingua.
 
Naona kaka
 
Nadhani shida iko hapa..... Nilitoa Kwa KUTUMIA line ya Tigo ila nloitumia KUSAJILI account huko ni voda.... Weomba uthibitisho wa namba kama ni zangu zote nimewapa... Wameomba NIDA nimewapa wamehitaji kitambulisho Cha ziada nimewapa hawajanijibu tangu tarehe 25/02.
Mkuu kama ulifanya hivi basi wewe ndiye mwenye makosa. Ulitoaje kwa kutumia mtandao ambao hata hukusajilia? Maana yake hapo hela imetoka ila imekosa njia ya kwenda.
 
View attachment 3255694
BET OF THE DAY

Code👉 YSXM5

Jisajili PariPesa. Tumia Promo Code TIPS2424 Kujisajili.

Jisajili Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code👉 TIPS2424

Tumia Promo Code👉 TIPS2424 Upate 300,000 Bure Kama Bonus.
1358e1.jpg

1.7 MILLION BOOOOOOOM✅✅✅✅💯💯

5+ ODDS BOOOM ✅✅✅✅✅

Jisajili PariPesa Hapa 👇

cutt.ly/hwKXFbXz

cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code Weka👉 TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Utakapo Deposit Kwa Mara Ya Kwanza.
 
Back
Top Bottom