Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

1z1388.jpg

WAKE UP TO BOOM ON MELBET

Code 👉 KZRV5

Jisajili Melbet Hapa 👇👇

https://mlbt.cc/40coprj

https://mlbt.cc/40coprj

Promo Code👉 TIPS2424

N.B
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 200000 Bure.
 
Endelea kusubir mkuu au cancel muamala utoe kwa njia nyingine. Nb njia ya mwisho ku deposit ndio utakayotumia kutoa , lakinI pia unaweza kutoa kwa mtandao tofauti ikakubali
 
haya mambo mnajitakia tu huko 1xbet mnafata nini wakati kampuni mfanano na hio 1xbet zimejaa kibao hapa nchini na unadeposit na kuwithdrawal kwa tigo pesa,airtel na m pesa hapa bongo kuna wanaokata kodi helabet na betwinner..wasio kata kodi kabisa ni Linebet,888starz na DBbet..na hawa wote ni 1xbet vile vile tofauti yao rangi tu..na hivi umetoa million 1 huko 1xbet subiri kuambiwa piga picha kitambulisho utume whatssap mara jipige selfie ukiwa umeshika kitambulisho usawa wa uso hao jamaa acha tu.!
 
Unataka mawakala wakuoneshe ushirikiano wakati na wewe hukuonesha ushirikiano kwa kudeposit kupitia wao?? Hakuna wakala atakayekusaidia hapo. Na epuka sana kutumia njia za Tigopesa sijui Mpesa. Zinaondolewaga mara kwa mara. Tumia mawakala
Kaka sijataja mawakala option ni kwa yeyote mwenye msaada
 
haya mambo mnajitakia tu huko 1xbet mnafata nini wakati kampuni mfanano na hio 1xbet zimejaa kibao hapa nchini na unadeposit na kuwithdrawal kwa tigo pesa,airtel na m pesa hapa bongo kuna wanaokata kodi helabet na betwinner..wasio kata kodi kabisa ni Linebet,888starz na DBbet..na hawa wote ni 1xbet vile vile tofauti yao rangi tu..na hivi umetoa million 1 huko 1xbet subiri kuambiwa piga picha kitambulisho utume whatssap mara jipige selfie ukiwa umeshika kitambulisho usawa wa uso hao jamaa acha tu.!
Daaah aiseeee mbona unantisha
 
Iyo kampuni enzi hizo nikipiga hela sana kwa njia ya affiliate nakumbuka links nilikuwa natupia hum watu wanajiunga ila ss pesa yote niliyokuwa nalipwa kama kamisheni zilikuwa zinaishia humo humo kwenye kubet naliwa, hasa siku za wikendi ambapo watu wanabet sana nilikuwa sikosi laki ya kamisheni. Biashara ilikuja kufa baada ya kuwekewa zengwe na makampun ya ndani watu wakapungua kubet sababu njia ya malipo kwa sim zilikuwa zinaondolewa mara kwa mara ikaishia hivyo
 
Mpwa am kidin si unanjua NDUGUYO ofisi Moja

Hiyoo unahitaji uvumilivu ukiona kimya wa
Hahahahaha
sumbue usiku na kama wanakujibu kwa sms screenshot zote kwa ushahidi
 
Niliwahi kubeti Kupitia App ya betway, nikaweka stake vizuri Bahati nzuri mkeka ukatili. Kutoa pesa ikawa kasheshe, nilikaa kama wiki nikaona muamala wa pesa umeingia wanipa pesa.
Sikurudia Tena kubetia hiyo kampuni 🚮
 
haya mambo mnajitakia tu huko 1xbet mnafata nini wakati kampuni mfanano na hio 1xbet zimejaa kibao hapa nchini na unadeposit na kuwithdrawal kwa tigo pesa,airtel na m pesa hapa bongo kuna wanaokata kodi helabet na betwinner..wasio kata kodi kabisa ni Linebet,888starz na DBbet..na hawa wote ni 1xbet vile vile tofauti yao rangi tu..na hivi umetoa million 1 huko 1xbet subiri kuambiwa piga picha kitambulisho utume whatssap mara jipige selfie ukiwa umeshika kitambulisho usawa wa uso hao jamaa acha tu.!
Eti hawa wote ni 1xbet tofauti yao ni rangi tu 🤣 kweli usilolijua nikama usiku wa giza hizo ni kampuni tofauti na wamiliki ni tofauti. Ila wananunua sportbook moja na Theme moja hata wewe ukiwa na kampuni yako ukinunua hiyo Theme wanakuuzia. Zote hizo zina leseni ya Curacao
 
Mpwa am kidin si unanjua NDUGUYO ofisi Moja

Hiyoo unahitaji uvumilivu ukiona kimya wa

sumbue usiku na kama wanakujibu kwa sms screenshot zote kwa ushahidi
Ndugu katika kazi nimekusoma sanaaa
 
Back
Top Bottom