Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Endelea kusubir mkuu au cancel muamala utoe kwa njia nyingine. Nb njia ya mwisho ku deposit ndio utakayotumia kutoa , lakinI pia unaweza kutoa kwa mtandao tofauti ikakubali
Kaka sijataja mawakala option ni kwa yeyote mwenye msaadaUnataka mawakala wakuoneshe ushirikiano wakati na wewe hukuonesha ushirikiano kwa kudeposit kupitia wao?? Hakuna wakala atakayekusaidia hapo. Na epuka sana kutumia njia za Tigopesa sijui Mpesa. Zinaondolewaga mara kwa mara. Tumia mawakala
HahahahahaMkuu
Mara ya mwisho kutoa zaka ama saddaka lini..tunaweza shauri kumbe tunashindana na Mungu
DooohRelax punguza jazba itakuja kurudishwa na wao watakutumia ujumbe. Relax inauma ila usijali. Punguza kuangalia pia.
Daaah aiseeee mbona unantishahaya mambo mnajitakia tu huko 1xbet mnafata nini wakati kampuni mfanano na hio 1xbet zimejaa kibao hapa nchini na unadeposit na kuwithdrawal kwa tigo pesa,airtel na m pesa hapa bongo kuna wanaokata kodi helabet na betwinner..wasio kata kodi kabisa ni Linebet,888starz na DBbet..na hawa wote ni 1xbet vile vile tofauti yao rangi tu..na hivi umetoa million 1 huko 1xbet subiri kuambiwa piga picha kitambulisho utume whatssap mara jipige selfie ukiwa umeshika kitambulisho usawa wa uso hao jamaa acha tu.!
sumbue usiku na kama wanakujibu kwa sms screenshot zote kwa ushahidiHahahahaha
Eti hawa wote ni 1xbet tofauti yao ni rangi tu 🤣 kweli usilolijua nikama usiku wa giza hizo ni kampuni tofauti na wamiliki ni tofauti. Ila wananunua sportbook moja na Theme moja hata wewe ukiwa na kampuni yako ukinunua hiyo Theme wanakuuzia. Zote hizo zina leseni ya Curacaohaya mambo mnajitakia tu huko 1xbet mnafata nini wakati kampuni mfanano na hio 1xbet zimejaa kibao hapa nchini na unadeposit na kuwithdrawal kwa tigo pesa,airtel na m pesa hapa bongo kuna wanaokata kodi helabet na betwinner..wasio kata kodi kabisa ni Linebet,888starz na DBbet..na hawa wote ni 1xbet vile vile tofauti yao rangi tu..na hivi umetoa million 1 huko 1xbet subiri kuambiwa piga picha kitambulisho utume whatssap mara jipige selfie ukiwa umeshika kitambulisho usawa wa uso hao jamaa acha tu.!
Kampuni namba moja africa hiyo betway bonge la kampuniNiliwahi kubeti Kupitia App ya betway, nikaweka stake vizuri Bahati nzuri mkeka ukatili. Kutoa pesa ikawa kasheshe, nilikaa kama wiki nikaona muamala wa pesa umeingia wanipa pesa.
Sikurudia Tena kubetia hiyo kampuni 🚮
Ndugu katika kazi nimekusoma sanaaaMpwa am kidin si unanjua NDUGUYO ofisi Moja
Hiyoo unahitaji uvumilivu ukiona kimya wa
sumbue usiku na kama wanakujibu kwa sms screenshot zote kwa ushahidi
Swali ni je hawazingui mifumo ya MALIPO nshaogopa sasaEti hawa wote ni 1xbet tofauti yao ni rangi tu 🤣 kweli usilolijua nikama usiku wa giza hizo ni kampuni tofauti na wamiliki ni tofauti. Ila wananunua sportbook moja na Theme moja hata wewe ukiwa na kampuni yako ukinunua hiyo Theme wanakuuzia. Zote hizo zina leseni ya Curacao
Je kampuni ulizotaja hawasumbuihaya mambo mnajitakia tu huko 1xbet mnafata nini wakati kampuni mfanano na hio 1xbet zimejaa kibao hapa nchini na unadeposit na kuwithdrawal kwa tigo pesa,airtel na m pesa hapa bongo kuna wanaokata kodi helabet na betwinner..wasio kata kodi kabisa ni Linebet,888starz na DBbet..na hawa wote ni 1xbet vile vile tofauti yao rangi tu..na hivi umetoa million 1 huko 1xbet subiri kuambiwa piga picha kitambulisho utume whatssap mara jipige selfie ukiwa umeshika kitambulisho usawa wa uso hao jamaa acha tu.!
Hii njia sio nzuri wewe weka buku kwa wakala kisha betia buku usiliwe hiyo buku nakuhakikishia unatoa hizo milioni zako usiweke hizo milioni weka buku kwa wakala kisha betia hiyo buku sio zile milioni nimerudia na kuludia ukifel ukaliwa huyo buku weka tena buku mpaka ule then utatoa pesa zako zote bila blahTafuta wakala akuwekee walau buku kumi, then tafuta odds ya kuanzia 1.1 weka mzigo wote uliopo kwenye akaunt yako, ukishinda nenda kwa wakala toa hela yako itatoka fresh
Hata hizo ulizotaja hapo ukila kiasi kikubwa unaambiwa hivyo kama haikuwa umeja hizo taarifa, mimi shaifu, kifupi ni kuwa kampuni zinazotumia wakala penda kutumia wakala kuliko njia za simu niliwahi mix njia za kuweka na kutoa kwa simu nikaambiwa kujaza hizo detail nilitumia NIDA tu pesa ikatokahaya mambo mnajitakia tu huko 1xbet mnafata nini wakati kampuni mfanano na hio 1xbet zimejaa kibao hapa nchini na unadeposit na kuwithdrawal kwa tigo pesa,airtel na m pesa hapa bongo kuna wanaokata kodi helabet na betwinner..wasio kata kodi kabisa ni Linebet,888starz na DBbet..na hawa wote ni 1xbet vile vile tofauti yao rangi tu..na hivi umetoa million 1 huko 1xbet subiri kuambiwa piga picha kitambulisho utume whatssap mara jipige selfie ukiwa umeshika kitambulisho usawa wa uso hao jamaa acha tu.!
Shuke ulienda kusomea ujinga? Alichouliza mtoa mada na ulichoandika na vitu viwili tofauti🚮Iyo kampuni enzi hizo nikipiga hela sana kwa njia ya affiliate nakumbuka links nilikuwa natupia hum watu wanajiunga ila ss pesa yote niliyokuwa nalipwa kama kamisheni zilikuwa zinaishia humo humo kwenye kubet naliwa, hasa siku za wikendi ambapo watu wanabet sana nilikuwa sikosi laki ya kamisheni. Biashara ilikuja kufa baada ya kuwekewa zengwe na makampun ya ndani watu wakapungua kubet sababu njia ya malipo kwa sim zilikuwa zinaondolewa mara kwa mara ikaishia hivyo
Wabongo bhana, ni wapumbavu sana kama huyu hapa, jibu alichouliza mtoa madaNiliwahi kubeti Kupitia App ya betway, nikaweka stake vizuri Bahati nzuri mkeka ukatili. Kutoa pesa ikawa kasheshe, nilikaa kama wiki nikaona muamala wa pesa umeingia wanipa pesa.
Sikurudia Tena kubetia hiyo kampuni 🚮