makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,482
- 5,138
Na Hawa union Berlin nao 😂 duh hii kazi ngumu
Nilimpa apate goli 2+Kuna alompa galatasaray humu??😀😀
Hawezi pata hata sareGonoa ana odds 7 ku win nataka nimfate mazima
Pole sanaNimekwama jama hawana USHIRIKIANO kabisa
Game ya moto hiii 😂Hawezi pata hata sare
Tafuta wakala akuwekee walau buku kumi, then tafuta odds ya kuanzia 1.1 weka mzigo wote uliopo kwenye akaunt yako, ukishinda nenda kwa wakala toa hela yako itatoka freshHABARI... MSAADA WENU TAFADHALI.
Tarehe 13/02/2025 nilitoa fedha Kwa njia ya Tigo Pesa kutoka kwenye account yangu ya 1x bet na mpaka sasa pesa hiyo sijaipata.
Mpaka sasa kilichopo ni ujumbe huu "Approved (please wait to receive the final status from the payment system)"
Na ukiufungua wananambia "Transaction is being processed. Awaiting operator confirmation"
Nimecheki nao Kwa email hawajibu, ukirequest wakupigie wanakupigia ila MWISHO hawana msaada wanakuelekeza KUFANYA mawasiliano Kwa njia ya email.
Nimestuck na matumaini ya kuzipata fedha zangu yanapungua note. Ni zaidi ya 1 million.
Na asiwekw afkumi kwa maramoja. Aweke hata buku mbili mbuli awamu tano tofauti(kila baada ya dkk10/15 hv). Ili njia ya kutoa ihame toka Tigopesa iende kwa WakalaTafuta wakala akuwekee walau buku kumi, then tafuta odds ya kuanzia 1.1 weka mzigo wote uliopo kwenye akaunt yako, ukishinda nenda kwa wakala toa hela yako itatoka fresh
Yani over 1.5 auHivi game ya Man U inaweza toa goal 2?
Hela nshaitoa haipo kwenye account wanaishikilia wao.Tafuta wakala akuwekee walau buku kumi, then tafuta odds ya kuanzia 1.1 weka mzigo wote uliopo kwenye akaunt yako, ukishinda nenda kwa wakala toa hela yako itatoka fresh
KabisaaaMajibu yao huwaga hivi. Lakini komaa nao hela utapata, uwe unawakumbushia kwa email.View attachment 3256263