Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Rasmi sasa nimeamini Dortmund ya msimu huu ni kengold ya bara Uropa
Huyu Lille sasa nae nikae chini naye tuyamalize kila nikimbetia ashinde ananichania nikibeti afungwe yy ananichania yaani ilimradi alipo yeye mkeka uchanike
 
Kama una hisi kuwa timu fulani au mtu fulani atashinda, ni bora umchague mshindi (1 au 2).

Kama una kauoga unaweza weka double chance (kwenye mpira wa miguu).

Na ukiweka mzigo usifuatilie mechi.

Options zingine zilizobaki,hazifai. Utakuwa unapiga hatua moja mbele,tatu nyuma.

Maneno yangu sio sheria.
 
Rasmi sasa nimeamini Dortmund ya msimu huu ni kengold ya bara Uropa
Huyu Lille sasa nae nikae chini naye tuyamalize kila nikimbetia ashinde ananichania nikibeti afungwe yy ananichania yaani ilimradi alipo yeye mkeka uchanike
Pole sana, B.Dortmund hata kwenye msimamao wa Bundesliga yupo chini sana kama Man Utd ya England. Msimu huu muondoe kabisa kwenye betting katika ile mikeka yenye stake kubwa na unaforce win.
Kwa matreni ya pata potea waweza mpa over 1.5 goals.
 
Lakini pia option ya magoli ya over 1.5 goals au over 2.5 goals inafaa zaidi kwa baadhi ya timu kama Bayern munich (huyu pia ana win sana msimu huu), PSG na PSV.
Direct win inaapply sana ligi kuu za EPL, La Liga na Premiership ya Uscochi.
 
Nina 50 hapa nipeni odds 2.5 mpaka 3.
Mechi zisizidi 2.
Mechi za katikati ya wiki au wikendi? Naweza kukusaidia mechi za wikendi hii. Binafsi huwa mikeka yangu ni mechi za ijumaa hadi jumatatu pekee, nimespecialize huko.
 
Hapana afisa, matokeo ya mchezo ndani ya dakika 90 ndiyo yanatabirika kwa ufanisi zaidi kuliko options zingine zote zilizobaki.
Na ndizo hupewa odds kidogo zaidi.
 
Bado utapigwa tu
 
Mechi za katikati ya wiki au wikendi? Naweza kukusaidia mechi za wikendi hii. Binafsi huwa mikeka yangu ni mechi za ijumaa hadi jumatatu pekee, nimespecialize huko.
Za katikati ya wiki hasa leo.

Mechi mbili tuu, odds total iwe btn 2.5 na 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…