Jajejijoju
JF-Expert Member
- May 1, 2022
- 447
- 598
Kwanini bado mnatumia kampuni zinazohitaji wakala ili kuweka au kutoa pesa?naomben mnisaidie namb za wakala yoyote wa 1xbet ambae yupo chap,kwamaan huyu nilienae aseh ni kilaza yupo slow kishenz nataka awe wa backup yan nmedosit hela toka sa4 asbh hadi mida hii sa6 kasoro mpumbavu hajaeka hela na simu hapokei bado kalala yan,nitumieni namb hata za mboje na wengn ambao wapo chap ila sitak namba za etoo huyu nae hanifai hata kwa nyongeza
ww unatumia kampuni ip ambayo unaeka mwenyew yenye mfanano na 1xbet ambayo kweny kulipa iko chapKwanini bado mnatumia kampuni zinazohitaji wakala ili kuweka au kutoa pesa?
tumia betwinner na 888starzww unatumia kampuni ip ambayo unaeka mwenyew yenye mfanano na 1xbet ambayo kweny kulipa iko chap
Mtafute Mhode yupo 1xbet na melbet namba utazikuta pale pale sehemu ya kudeposit.naomben mnisaidie namb za wakala yoyote wa 1xbet ambae yupo chap,kwamaan huyu nilienae aseh ni kilaza yupo slow kishenz nataka awe wa backup yan nmedosit hela toka sa4 asbh hadi mida hii sa6 kasoro mpumbavu hajaeka hela na simu hapokei bado kalala yan,nitumieni namb hata za mboje na wengn ambao wapo chap ila sitak namba za etoo huyu nae hanifai hata kwa nyongeza