Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Toka siku ile nilipoteza 30k yangu kwa Bett, sina hamu kabisaa.

Nawazaga wanaofanya kila siku wanawezajee? Hapanaaa.
Jaribu odds chache zisizidi 5, kwa 0.5 goal kwa teams za ligi kubwa au timu iwe na goli za kushinda mara 2 ya mechi alizocheza.
Nipo kwenye majaribio ya hii mbinu.
Ingwa jana Senegali alianza kunitisha na haya majaribio yangu.
 
Mie bett sina ufahamu nayo, hiyo 30k ni kunae mtu ndo alisema anitengenezee mkeka,

Baadae ndo ananambia nimeliwa, nliliaje, si bora ningeenda cafe nikala nikashiba, sitaki tena.
 
Jaribu odds chache zisizidi 5, kwa 0.5 goal kwa teams za ligi kubwa au timu iwe na goli za kushinda mara 2 ya mechi alizocheza.
Nipo kwenye majaribio ya hii mbinu.
Ingwa jana Senegali alianza kunitisha na haya majaribio yangu.
Hizi timu za Taifa ndo kichomi, Ligi za kueleweka zikirudi Mhindi ataendelea kulizwa.
 
1.7 MILLION BOOOOOOOMβœ…βœ…βœ…βœ…πŸ’―πŸ’―

5.6 ODDS BOOOM βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…

Jisajili PariPesa Hapa πŸ‘‡

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Weka Promo CodeπŸ‘‰ TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Bure Ukijisajili Na Kudeposit Leo.
 
leo mpaka ijumatano ni mataifa tu inabidi yatuage kama ni kwa vipondo au kwa kuwin ni sisi tu 🀣 ili tuingie kwa ndugu zetu kwa kina Mwakamanyu, n
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…