Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

share_1742628294716.jpeg
 
TAARIFA KWA WAZEE WENZAGU

Ndg zangu wakubwa na wadogo habarini za mchana huu...

Nmekuja kwenu ndugu zangu na maskitiko makubwa na taarifa ya kuacha mchezo huu wa kubashiri swala hili limekuja baada ya kupoteza kiasi cha ml4 ndani ya mda wa wiki moja

Na jana nimepoteza laki saba kwa mechi ya Man City [emoji24] na ndiyo bashiri ya mwisho kabisa kwangu nmelala nikitafakari na jibu nmelipata niache kabsa mara1 kubet

Hivyo basi nmekuja kwenu mnipe baraka zote kwa hili wazo langu nmeumia sana nimefuta kila kitu pamoja na mafaili ya kuchambua mechi

Na leo ndio mwisho wangu kuingia jukwaa hili nitakua kwenye majukwaa mengine

Hizi ni baadhi ya hasara[emoji24][emoji24][emoji24]

View attachment 2844887View attachment 2844888View attachment 2844889

Asanteni Sana
Exalioth-yuda
jf_geita
Huna akili yani unarisk laki mbili Kwa elfu25, unarisk laki saba Kwa laki na kidg nonsense
 
Ni hayo tu Wakuu.
 

Attachments

  • Screenshot_2025-03-20-16-44-00-94.jpg
    Screenshot_2025-03-20-16-44-00-94.jpg
    199.4 KB · Views: 27
  • Screenshot_2025-03-20-16-42-36-42.jpg
    Screenshot_2025-03-20-16-42-36-42.jpg
    204.9 KB · Views: 31
  • Screenshot_2025-03-20-16-41-27-93.jpg
    Screenshot_2025-03-20-16-41-27-93.jpg
    226.3 KB · Views: 30
  • Screenshot_2025-03-20-16-33-42-07.jpg
    Screenshot_2025-03-20-16-33-42-07.jpg
    97.3 KB · Views: 27
  • Screenshot_2025-03-20-16-10-28-25.jpg
    Screenshot_2025-03-20-16-10-28-25.jpg
    179.2 KB · Views: 32
  • Screenshot_2025-03-20-16-10-01-74.jpg
    Screenshot_2025-03-20-16-10-01-74.jpg
    76.3 KB · Views: 24
Usiichikulie kama chanzo cha pesa, utafurahia. Japo mimi sijazoea kabisa betting nipo kwenye trading zaidi.

Kuna mda najiskia natupia ki 5000 kikiisha basi mpaka nasahau kubet... hahahaha nikikumbuka najifurahisha tena na ka 5000
 
View attachment 3279369
CHINA🏀🏀 BASKETBALL

Code 👉 STELA

Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya 300,000 Ukijisajili Na Kudeposit Leo.

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code Andika👉 TIPS2424
pip7pl.jpg

1.1MILLION BOOOOOOOM✅✅✅✅💯💯

2.5 ODDS BOOOM ✅✅✅✅✅

Jisajili PariPesa Hapa 👇

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Weka Promo Code👉 TIPS2424 Upate 300,000 Ukijisajili Na Kudeposit Leo.
 
Back
Top Bottom