Tatizo ni kuwa umevamiwa na mawakala wa kanji,Uzi hautembei kabisa siku hizi
duh!Asipatikane miongoni mwenu mtu yeyote . . . anayefanya uaguzi, mtu yeyote anayefanya uchawi, mtu yeyote anayetafuta ishara za ubashiri, mlozi, mtu yeyote anayewafunga wenzake kwa uchawi, mtu yeyote anayetafuta ushauri kutoka kwa watu wanaowasiliana na roho, mpiga ramli, au mtu yeyote anayetafuta habari kuhusu wafu. Kwa maana mtu yeyote anayefanya mambo haya ni chukizo kwa Mungu.
—Kumbukumbu la Torati 18:10-12.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muulize je kampuni za betting kuna uchawi au nguvu za giza wanazotumia ili tushindwe kuwapiga
Nimeuliza AI nimepata hayo majibu.
View attachment 3278892View attachment 3278893View attachment 3278894View attachment 3278895
umeuliza wrong question, umeuliza asiyestahili.., na umeuliza neno lisilo sahihi...kubashiri inaweza kumaanisha guessing,au kutabiri lakini sio betting.translation ya betting ni kamali sasa kaulize hivyo.Pili kubet ni dhambi against yourself,kitu chochote ambacho kitakufanya uwe addicted, usiwe bora in a long term ni KUJIKOseaNimeuliza AI nimepata hayo majibu.
View attachment 3278892View attachment 3278893View attachment 3278894View attachment 3278895
"Quran 2:219 in Kiswahili Kiswahili | al-Baqarah 219" Quran 2:219 in Kiswahili Kiswahili | al-Baqarah 219Pana dogo muuza chips mtaani kachana mkeka kapata milioni saba mtaani kaboresha ofisi na kaongeza zingine
watu wamechukua likizoUzi hautembei kabisa siku hizi
Likizo wapi? Kanji kawafirisi.watu wamechukua likizo
🤣🤣🤣kanji hana aibu kabisaaLikizo wapi? Kanji kawafirisi.