Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Senegal wanashindwa vipi kumfunga sudan
Tangu 2023 huyo sudani kapoteza dhidi ya kichwa cha mwenda wazimu pekee kwenye friendly match. Mambo yanabadilika
Screenshot_20250323-033846.png

Hapa nimejaribu kuzungushia vigogo walioshindwa kufua dafu kwenye michuano yote ya hivi karibuni anayoshiriki sudan
Screenshot_20250323-034009.png
 
Tangu 2023 huyo sudani kapoteza dhidi ya kichwa cha mwenda wazimu pekee kwenye friendly match. Mambo yanabadilikaView attachment 3280131
Hapa nimejaribu kuzungushia vigogo walioshindwa kufua dafu kwenye michuano yote ya hivi karibuni anayoshiriki sudanView attachment 3280134
Nimeangalia rekodi yao pia nikagundua nilikulupuka kwenda mazima na senegal
 
TAARIFA KWA WAZEE WENZAGU

Ndg zangu wakubwa na wadogo habarini za mchana huu...

Nmekuja kwenu ndugu zangu na maskitiko makubwa na taarifa ya kuacha mchezo huu wa kubashiri swala hili limekuja baada ya kupoteza kiasi cha ml4 ndani ya mda wa wiki moja

Na jana nimepoteza laki saba kwa mechi ya Man City [emoji24] na ndiyo bashiri ya mwisho kabisa kwangu nmelala nikitafakari na jibu nmelipata niache kabsa mara1 kubet

Hivyo basi nmekuja kwenu mnipe baraka zote kwa hili wazo langu nmeumia sana nimefuta kila kitu pamoja na mafaili ya kuchambua mechi

Na leo ndio mwisho wangu kuingia jukwaa hili nitakua kwenye majukwaa mengine

Hizi ni baadhi ya hasara[emoji24][emoji24][emoji24]

View attachment 2844887View attachment 2844888View attachment 2844889

Asanteni Sana
Exalioth-yuda
jf_geita
Sikatai Mimi ni fala ila mwenzangu umenizidi ufala aisee
Hapo ulikuwa ukitaka nn au ndo kusema stake high?!
 
Daa! Hizi timu za taifa pasua kichwa sana. Unakuta odds 20+ vs 1.04 ukimpa mwenye mdogo anashinda mwenye kubwa au draw. Mfano Jana sizani kama Kuna aliyemnyima Senegal. KWA HIVYO NDUGU WAPENDWA 26MARCH TUMPENI TANZANIA, TUMPASUE KANJI.
 
Kamali hailipi kijana fanya kazi
Mi nimeamua kubeti kwenye kilimo maana nako ni full kanjibai nikitegea Wasira ajiuzuru nitembelee vieite full kipupwe na nyumba nzuri ila silipwi mshahara na wala siuhitaji sema sitakuwa navaa kaunda suti na ile mibuti yake hapo ntabadiri nivae mchongoko
 
Back
Top Bottom