TAARIFA KWA WAZEE WENZAGU
Ndg zangu wakubwa na wadogo habarini za mchana huu...
Nmekuja kwenu ndugu zangu na maskitiko makubwa na taarifa ya kuacha mchezo huu wa kubashiri swala hili limekuja baada ya kupoteza kiasi cha ml4 ndani ya mda wa wiki moja
Na jana nimepoteza laki saba kwa mechi ya Man City [emoji24] na ndiyo bashiri ya mwisho kabisa kwangu nmelala nikitafakari na jibu nmelipata niache kabsa mara1 kubet
Hivyo basi nmekuja kwenu mnipe baraka zote kwa hili wazo langu nmeumia sana nimefuta kila kitu pamoja na mafaili ya kuchambua mechi
Na leo ndio mwisho wangu kuingia jukwaa hili nitakua kwenye majukwaa mengine
Hizi ni baadhi ya hasara[emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 2844887View attachment 2844888View attachment 2844889
Asanteni Sana
Exalioth-yuda
jf_geita