JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,368
- 9,937
Possible GG's according to my own vetting... Being a millionaire ain't easy!... Try your luck
8F84EA4 Sporty
8F84EA4 Sporty
Doh sema pesa ndefu afu ata ukishinda faida kidogo lazima uchanganyikiweTAARIFA KWA WAZEE WENZAGU
Ndg zangu wakubwa na wadogo habarini za mchana huu...
Nmekuja kwenu ndugu zangu na maskitiko makubwa na taarifa ya kuacha mchezo huu wa kubashiri swala hili limekuja baada ya kupoteza kiasi cha ml4 ndani ya mda wa wiki moja
Na jana nimepoteza laki saba kwa mechi ya Man City [emoji24] na ndiyo bashiri ya mwisho kabisa kwangu nmelala nikitafakari na jibu nmelipata niache kabsa mara1 kubet
Hivyo basi nmekuja kwenu mnipe baraka zote kwa hili wazo langu nmeumia sana nimefuta kila kitu pamoja na mafaili ya kuchambua mechi
Na leo ndio mwisho wangu kuingia jukwaa hili nitakua kwenye majukwaa mengine
Hizi ni baadhi ya hasara[emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 2844887View attachment 2844888View attachment 2844889
Asanteni Sana
Exalioth-yuda
jf_geita
Hello, karibuni wakuu, nawasalimu kwa jina la muungano.
Well me ni binti , but hua na bet pia (wanaume msishangae cas mmezoea ninyi tu) well hus nabet na nimefanikisha vitu vingi tu kwa hilo.
Sasa me takus nawaletea few odds kila siku na 90% ni good, jaribu bahati yako, nazitoa mahali flani pa uhakika mzuri, hivo jaribu, ni free tu, maybe utake kunipa tip ukishinda, note, ni ods chache saba maybe 3, 4 or 6.
God bless everyone na ukawe unavotakw inshalah.
TAARIFA KWA WAZEE WENZAGU

Pole sana aisee bora uache maana bet is not for every one.TAARIFA KWA WAZEE WENZAGU

Huwezi amini, imenilazimu nianze kukuchunguza post zote ulizowahi kuandika JF na nyuzi ulizochangia mara nyingi zaidi.Hello, karibuni wakuu, nawasalimu kwa jina la muungano.
Well me ni binti , but hua na bet pia (wanaume msishangae cas mmezoea ninyi tu) well hus nabet na nimefanikisha vitu vingi tu kwa hilo.
Sasa me takus nawaletea few odds kila siku na 90% ni good, jaribu bahati yako, nazitoa mahali flani pa uhakika mzuri, hivo jaribu, ni free tu, maybe utake kunipa tip ukishinda, note, ni ods chache saba maybe 3, 4 or 6.
God bless everyone na ukawe unavotakw inshalah.
Hapa napunguza time chache halafu napita nayo haya ndo mambo nayoyopenda sasa GG 🙏 jitu kama jitu ,🙏 nathamini mchango wako najua hii code itanipa pesa leoPossible GG's according to my own vetting... Being a millionaire ain't easy!... Try your luck
8F84EA4 Sporty
Leta madamHello, karibuni wakuu, nawasalimu kwa jina la muungano.
Well me ni binti , but hua na bet pia (wanaume msishangae cas mmezoea ninyi tu) well hus nabet na nimefanikisha vitu vingi tu kwa hilo.
Sasa me takus nawaletea few odds kila siku na 90% ni good, jaribu bahati yako, nazitoa mahali flani pa uhakika mzuri, hivo jaribu, ni free tu, maybe utake kunipa tip ukishinda, note, ni ods chache saba maybe 3, 4 or 6.
God bless everyone na ukawe unavotakw inshalah.
Naweka Million sasa ole wako 😉Tip 2
Marseille vs Clermont Foot - Home win
Freiburg vs Cologne - Home or draw
Arsenal - Brighton - Ov 1.5
Las palmas vs Cadiz - Home or draw
Fiorentina vs Verona - Home win
4.27 Odds.
Tupe screenshot ya 28 hiyo tujifunzeWe kanji njooo huku wana wauliza kanji jana umepigaje hapo? Last wiki ilikuwa mara ya mwisho kufanya betting , nilipobutua M 28 , nikaona kanji anapigika mpk leo nipo piga nikupige
hahaahaaaNaweka Million sasa ole wako 😉
huu ni msiba wa kitaifaTAARIFA KWA WAZEE WENZAGU
Ndg zangu wakubwa na wadogo habarini za mchana huu...
Nmekuja kwenu ndugu zangu na maskitiko makubwa na taarifa ya kuacha mchezo huu wa kubashiri swala hili limekuja baada ya kupoteza kiasi cha ml4 ndani ya mda wa wiki moja
Na jana nimepoteza laki saba kwa mechi ya Man City [emoji24] na ndiyo bashiri ya mwisho kabisa kwangu nmelala nikitafakari na jibu nmelipata niache kabsa mara1 kubet
Hivyo basi nmekuja kwenu mnipe baraka zote kwa hili wazo langu nmeumia sana nimefuta kila kitu pamoja na mafaili ya kuchambua mechi
Na leo ndio mwisho wangu kuingia jukwaa hili nitakua kwenye majukwaa mengine
Hizi ni baadhi ya hasara[emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 2844887View attachment 2844888View attachment 2844889
Asanteni Sana
Exalioth-yuda
jf_geita
angalia juu nimekwishaweka mkuuLeta madam