Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nichangie tu kidogo japo neno langu sio sheria wala ukamilifu ila ni maoni tu na ningependa tu kuchangia! Kuna baadhi ya mechi kanji anatudhurumu sana na kutupumbaza kwa odds ndogo! Mfano mechi ya Bayern liverkusen ana odd 1.35 kushinda na anacheza na Frankfurt ambaye majuzi katoka kumpiga bayen Munich goli 4! Na GG yao ina 1.80 ambayo ina asilimia kubwa ya kutoa kuliko huyo Leverkusen kushinda! Sikatai liverkusen yupo kwenye form ila leo hata akishinda atakuwa Kamwaga jasho na damu maana hawa watoto wakiingia na ule moto wao kama waliocheza na Bayern Munich itakuwa hatari! Mechi ya liver na kibonde Man u nayo liver kushinda ana odds 1.35 na anacheza na Man U kweli hizo odd ndogo hivyo ni reasonable?? hata kama man u ni kibonde ila uwezekano wa man u kutoa goli ni mkubwa kuliko liver kushinda hivyo GG hapa ina asilimia kubwa odds 1.60! Mechi ya Bayern anacheza na stuttgart ni mechi ngumu ambayo kama Stuttgart watawakia kwenye Gia hata Bayern anaweza kufa maana Stuttgart wana mpira mzuri pia! hivyo GG hapa tena ni salama kuliko kumsubiri Bayern ashinde na odds zake ndogo 1.43 mechi ya Madrid na odds zake 1.25 ndogo anacheza na Villarreal ambayo huwa wana upinzani hata kama Villarreal haipo kwenye form kuipa ushinda Madrid kwa odd 1.25 ni kujitakia vilio badae
Umechambua vizuri sana. Ngoja mechi zianze sasa ndio utajua kuwa betting haihitaji uchambuzi wala mahubiri[emoji23][emoji23]
Tuendelee kubahatisha wakuu. Liva anaweza akafa kigoli kimoja mpaka mpira unaisha.
 
Wale wazee wa Casinos hela ya bia hii hapa.
Screenshot_20231217-141559.jpg
 
Hello, karibuni wakuu, nawasalimu kwa jina la muungano.

Well me ni binti , but hua na bet pia (wanaume msishangae cas mmezoea ninyi tu) well hus nabet na nimefanikisha vitu vingi tu kwa hilo.

Sasa me takus nawaletea few odds kila siku na 90% ni good, jaribu bahati yako, nazitoa mahali flani pa uhakika mzuri, hivo jaribu, ni free tu, maybe utake kunipa tip ukishinda, note, ni ods chache saba maybe 3, 4 or 6.

God bless everyone na ukawe unavotakw inshalah.
Njoo nikuoe bibie tuwe tunampiga kanji pamoja nimegundua wewe ni wife material
 
TAARIFA KWA WAZEE WENZAGU

Ndg zangu wakubwa na wadogo habarini za mchana huu...

Nmekuja kwenu ndugu zangu na maskitiko makubwa na taarifa ya kuacha mchezo huu wa kubashiri swala hili limekuja baada ya kupoteza kiasi cha ml4 ndani ya mda wa wiki moja

Na jana nimepoteza laki saba kwa mechi ya Man City [emoji24] na ndiyo bashiri ya mwisho kabisa kwangu nmelala nikitafakari na jibu nmelipata niache kabsa mara1 kubet

Hivyo basi nmekuja kwenu mnipe baraka zote kwa hili wazo langu nmeumia sana nimefuta kila kitu pamoja na mafaili ya kuchambua mechi

Na leo ndio mwisho wangu kuingia jukwaa hili nitakua kwenye majukwaa mengine

Hizi ni baadhi ya hasara[emoji24][emoji24][emoji24]

View attachment 2844887View attachment 2844888View attachment 2844889

Asanteni Sana
Exalioth-yuda
jf_geita
Stake as to afford a conflicts

Pole sana
 
jaman betpawa saiv wameanza kautundu,,sijui ndo kurudisha hasara walokula,,ukideposit kamkeka ukikaa dakika chache tu, ukitaka kucashout unakuta stake imepungua halaf hata mechi hazijaanza..me naboyeka saana
Mkome tishawaambia achaneni na hiyo kampun pumbavu zenu
 
TAARIFA KWA WAZEE WENZAGU

Ndg zangu wakubwa na wadogo habarini za mchana huu...

Nmekuja kwenu ndugu zangu na maskitiko makubwa na taarifa ya kuacha mchezo huu wa kubashiri swala hili limekuja baada ya kupoteza kiasi cha ml4 ndani ya mda wa wiki moja

Na jana nimepoteza laki saba kwa mechi ya Man City [emoji24] na ndiyo bashiri ya mwisho kabisa kwangu nmelala nikitafakari na jibu nmelipata niache kabsa mara1 kubet

Hivyo basi nmekuja kwenu mnipe baraka zote kwa hili wazo langu nmeumia sana nimefuta kila kitu pamoja na mafaili ya kuchambua mechi

Na leo ndio mwisho wangu kuingia jukwaa hili nitakua kwenye majukwaa mengine

Hizi ni baadhi ya hasara[emoji24][emoji24][emoji24]

View attachment 2844887View attachment 2844888View attachment 2844889

Asanteni Sana
Exalioth-yuda
jf_geita
Loss ndogo sana iyo.

Ilo buku lirushie kindege utarudisha pesa yako leoleo na faida 💪
 
Back
Top Bottom