Dah.... sijawahi juta kujoin hili jopo aiseee.Hakuna cha mbwembwe Safina hilo hapo limetengenezwa likatengenezeka we utachagua upande au usubiri mafuriko ufe [emoji1][emoji1]!
Hakuna cha mbwembwe Safina hilo hapo limetengenezwa likatengenezeka we utachagua upande au usubiri mafuriko ufe [emoji1][emoji1]!
Me nampa ushindi Madrid ,kwa Nini sababu kwenye league yupo nafasi ya pili point 39, na Girona point 41 match played both 16, kapitwa point 2 na Girona , sare inazidi kumuweka chini, kwa hiyo lazima ashinde Ili apunguze gape , na kumbuka wote wanamechi sawa, Madrid win vs VillarrealNichangie tu kidogo japo neno langu sio sheria wala ukamilifu ila ni maoni tu na ningependa tu kuchangia! Kuna baadhi ya mechi kanji anatudhurumu sana na kutupumbaza kwa odds ndogo! Mfano mechi ya Bayern liverkusen ana odd 1.35 kushinda na anacheza na Frankfurt ambaye majuzi katoka kumpiga bayen Munich goli 4! Na GG yao ina 1.80 ambayo ina asilimia kubwa ya kutoa kuliko huyo Leverkusen kushinda! Sikatai liverkusen yupo kwenye form ila leo hata akishinda atakuwa Kamwaga jasho na damu maana hawa watoto wakiingia na ule moto wao kama waliocheza na Bayern Munich itakuwa hatari! Mechi ya liver na kibonde Man u nayo liver kushinda ana odds 1.35 na anacheza na Man U kweli hizo odd ndogo hivyo ni reasonable?? hata kama man u ni kibonde ila uwezekano wa man u kutoa goli ni mkubwa kuliko liver kushinda hivyo GG hapa ina asilimia kubwa odds 1.60! Mechi ya Bayern anacheza na stuttgart ni mechi ngumu ambayo kama Stuttgart watawakia kwenye Gia hata Bayern anaweza kufa maana Stuttgart wana mpira mzuri pia! hivyo GG hapa tena ni salama kuliko kumsubiri Bayern ashinde na odds zake ndogo 1.43 mechi ya Madrid na odds zake 1.25 ndogo anacheza na Villarreal ambayo huwa wana upinzani hata kama Villarreal haipo kwenye form kuipa ushinda Madrid kwa odd 1.25 ni kujitakia vilio badae
Option moja uliyoweka humu sijawahi kufikiria kama ipo sportybetWakati Nuhu anatengeneza Safina watu walimdhihaki sana kwa maneno mbalimbali na kejeli! Hii code ni kama Safina na inaenda kuwatoa Maafisa kwenye umaskini na vilio vya vipigo kila siku! Kila Afisa asiache kutia chochote kwenye hii code! Nimeipa Jina "Safina" Yan mkombozi wa Maafisa 💪💪 4064B1F Sporty bet 🙏
Inavyopaswa kuwa vs halisi jioniMe nampa ushindi Madrid ,kwa Nini sababu kwenye league yupo nafasi ya pili point 39, na Girona point 41 match played both 16, kapitwa point 2 na Girona , sare inazidi kumuweka chini, kwa hiyo lazima ashinde Ili apunguze gape , na kumbuka wote wanamechi sawa, Madrid win vs Villarreal
UnachekeshaWakati Nuhu anatengeneza Safina watu walimdhihaki sana kwa maneno mbalimbali na kejeli! Hii code ni kama Safina na inaenda kuwatoa Maafisa kwenye umaskini na vilio vya vipigo kila siku! Kila Afisa asiache kutia chochote kwenye hii code! Nimeipa Jina "Safina" Yan mkombozi wa Maafisa 💪💪 4064B1F Sporty bet 🙏
Mkeka wa kimkakati huku, nimeuchukua ila nimeondoa options za "Anytime goal scorer"Wakati Nuhu anatengeneza Safina watu walimdhihaki sana kwa maneno mbalimbali na kejeli! Hii code ni kama Safina na inaenda kuwatoa Maafisa kwenye umaskini na vilio vya vipigo kila siku! Kila Afisa asiache kutia chochote kwenye hii code! Nimeipa Jina "Safina" Yan mkombozi wa Maafisa 💪💪 4064B1F Sporty bet 🙏
Panda King hata kwa mia 2 tu maana mvua ni nyingi sana mwaka huu we hujaskia mafuriko huko Hanang 😄Unachekesha
MKUU ACHA TU [emoji41]leo nimemuona NALIA NGWENA naemfahuuu. mkuu hii vita na kanji yan imekuwa kama vita vidi ya umasikini.
Safina ilizama na kuua maafisa wote pale tu ulipoleta code humu 😂Wakati Nuhu anatengeneza Safina watu walimdhihaki sana kwa maneno mbalimbali na kejeli! Hii code ni kama Safina na inaenda kuwatoa Maafisa kwenye umaskini na vilio vya vipigo kila siku! Kila Afisa asiache kutia chochote kwenye hii code! Nimeipa Jina "Safina" Yan mkombozi wa Maafisa 💪💪 4064B1F Sporty bet 🙏
Nami kichwa kimeuma kweli dah.. [emoji23] ila sitaki mafurikoSina namna kichwa nakisikia kizito ngoja niruke nalo tu
Hii code, mechi 5 ziko perfect kabisa... Zimeniinsire kusuka code kupitia hii code...Wakati Nuhu anatengeneza Safina watu walimdhihaki sana kwa maneno mbalimbali na kejeli! Hii code ni kama Safina na inaenda kuwatoa Maafisa kwenye umaskini na vilio vya vipigo kila siku! Kila Afisa asiache kutia chochote kwenye hii code! Nimeipa Jina "Safina" Yan mkombozi wa Maafisa 💪💪 4064B1F Sporty bet 🙏