SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,517
- 5,049
Yaani Kama kawa jumamosi ni siku ambayo kanji anapiga hela ndefu za wananchi...nimegundua kitu tokea mda nimesema...jmoc ni siku ambayo Ina mechi nyingi na ligi tofauti..asa ubaya ni kwamba..on paper since mechi zipo nyingi unaona hela ipo ila ubaya ni kwamba the more the matches the more the chances of losing coz huwezi jua mchawi wa hio siku ..hata uweke mkeka wa timu 3, kumbuka hizo ni timu 3 Kati ya pool ya timu zaidi ya 500 hio siku so mmoja Akiwa mchawi na yupo kwenye hizi 3 na kakeka Kako kameisha..ndo maana ni ngumu Sana kushinda jmoc.. na sijawahi ona