🤣🤣🤣 Ila huu uzi hata ukiliwa ukiingia humu unafurahi tuHeri wewe 15,000/=. Mimi niliambiwa niweke Mke. Hivi Sasa yuko kwa Kanji.
naomba tuunganeNatafuta millioni 9+
Taipata na taleta mrejesho
Niombeeni.
Direct win hatari kwa afyaDaah mancity kama joka lililosimuliwa katika biblia kuwa amekokota theluthi ya nyota na kuzibwaga. Naye kakokota mikeka yote Chali akisaidiana na bwana Celtic. Kiufupi hii kazi ni ngumu. Ni vichapo tuu na vilio, aliyesema kuwa betting Hela ni ya kiulaini na apingwe na wakamaria wote. Kanji heshima kwako mkuu. Sisi ndio tunakuwa manamba katika mashamba yako ya pilipili[emoji1787][emoji1787].
Hakika Celtic ni mhaini na muhujumu uchumi wa wakamaria namba moja.
Nilimbutua 350k last week aisee tokea hapo ni vipigo tu.Jaman mwny ukaribu wowote na kanji mwambie anisamehe [mention]trigger [/mention]
Damu zitaisha jamn Eeeh Mungu baba nsaidie niweze kuona mwaka mpya
We jamaa jichunguze una kipaji hahahaha kmmmke.Huku nikiwa nasubiri Celtic arudishe
Nice nae ananambia Kumbe dawa haijakuingia