Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mechi za football wanawake mwisho ni leo, Yan Ac Milan na Napoli wangeninyoosha , Ac milan kachomoa wakati mda wa ziada umeisha kama ile mechi ya simba na Wydad
Unatutia aibu Wanaume wenzio

Yaani leo unatuletea habari za Mechi za Wanawake? Mechi talee za Wanaume zimejaa mpaka za mpaka ambao hawajatahiriwa zimo

Au haujui kama wakiwa Period hawachezi?
Ni Sawa iwe Simba :+
Chama,Baleke,Inonga, na Chemalon wawe period,hapo kuna Team?
Yanga: Pacome,Diara, Max,Aucho,Backa

Sasa Team za Wanawake unaweza kukuta Robo ya Team wapo Hedhi(Period) kwenye group of 25 to 30 players ya madada haiwezi kuwa salama

Sass ukiangalia msimano utakudanganya tu
 
WALE MLIOCHEZA TA GALAX DRW
SOUGHAFRIKA NIKOPALEE KWA MASSAWEWAKALA
 
JITU BANDIA

Hapa Mtibwa leo atajikataaa

Over 2.5 mapemaaa,Acha udunde tuone

Screenshot_20231216-174644.png
 
Dortmuund goal la viwango vya Halo ya juuu mnoo
Bonge la pasiii robo

BADO tunauvumilivu,nilikupa win or Draw ,So don't angusha me chini
 
Unatutia aibu Wanaume wenzio

Yaani leo unatuletea habari za Mechi za Wanawake? Mechi talee za Wanaume zimejaa mpaka za mpaka ambao hawajatahiriwa zimo

Au haujui kama wakiwa Period hawachezi?
Ni Sawa iwe Simba :+
Chama,Baleke,Inonga, na Chemalon wawe period,hapo kuna Team?
Yanga: Pacome,Diara, Max,Aucho,Backa

Sasa Team za Wanawake unaweza kukuta Robo ya Team wapo Hedhi(Period) kwenye group of 25 to 30 players ya madada haiwezi kuwa salama

Sass ukiangalia msimano utakudanganya tu
Ooopsss!!!
Non-logical, ile ni proffesional kama zingine tuu usihusanishe na mambo uliyoyataja hapo.

Hao wanaume unaowabetia kila siku mbona vilio humu jamvini!?
Hamna fact kwa ulichonishauri na ushauri wako ni personal zaidi kuliko general.

Mimi na betting company tunafanya biashara ambayo haimlazimishi mtu kuingia sokoni, kwahy mimi binafsi nimeona za Italy zimenisumbua mara ya 3 hii, nimeona niiche Italy ila wamenipa hela, na Odds zangu ni hizi hizi daily.
IMG_20231216_182934.jpg

Na pia Australia leo Melbourne Victory alicheza na magoli ametoa, ni ligi ntakayokua natumia tu kwa ladies!

NB. Don't reply ili mjadala usiwe mrefu, soma tu uache kujibu.
 
Back
Top Bottom