Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Goals in a row for a single team.
Ndio yaan idadi ya magoli single team itascore kwa kufuatana bila mpinzani kuscore, mfano home team anascore la kwanza la pili la tatu af baadae away anascore 1 mechi Inaisha 3-1, home team amescore 3 goals in a row, km angefunga la kwanza la pili af away akapata Moja baadae home akaongeza la tatu, mechi ingeisha vilevile 3-1 ila home team amescore 2 goals in a row
 
Msaada hapa wakuu
Timu uliyochagua ifunge goli kadhaa mfano (2) au (3) mfululizo bila mpinzani kufunga goli.
Yaani kama matokeo ni 2:1, basi ni lazima hizo goli 2 za Team 1 ziwe zilifungwa kwa kufuatana. Ila kama team 1 alianza kufunga, then team 2 akasawazisha na mwisho team 1 akafunga goli la pili hiyo itahesabika ni lost kama ulichagua YES.
 
Back
Top Bottom