Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ni Bora kuiignore mechi ya Yanga! Odds 1.10!?... Huwa odds za kiwaki sana hizo... Halafu inaanza na over 2.5!...

Mechi za dizaini hii Yanga yuko kwenye form ndio ... Lakini inaweza kuisha kwa matokeo ya 1-0

Japo mtibwa yuko mkiani... Asipuuzwe!... Ikumbukwe Mtibwa Sio underdog!.... kivile kwenye soka la bongo...

Japo hana matokeo mazuri tunajua...

Lakini hii kwake ni big match! Watoto watataka kuosha majina!...

Ikumbukwe Mtibwa Sukari kwa miaka mingi imekuwa kama Chuo! Kwenye soka la bongo.

Ukitaka kuprove hili... Rudi nyuma Jana tu kwenye mechi ya Monaco na Lyon...

Zinapokutana big teams zenye majina makubwa...

Haijalishi either mmoja yuko mkiani ama mwingine yuko kwenye kichwa!...

Formula huwa ni ileile.. Nor big fish.. nor underdog!

Uamuzi ni wako ... Upigwe para!?... Ama usukwe Rasta!
JITU BANDA Nakubali mawazo Yako

Ila kwa YANGA hiii na Mtibwa hiii ya sasa, hapana anakula za Kutosha mnoo

Atleast Angekuwa Kocha Nabi alikuwa anaafanya Rotation ya wachezaji ILA Gamondi kupara ambae bado anajitafuta aisee Balaa lilelile la First Eleven.

Mtibwa currently wanashida kubwa mnooo,Good that Matches zao nyingi nazio either Home au through my AZAM Max kwenye Sim.
Mifumo yao hairuhusu kwa aina ya wachezaji walionao kwa sasa,na hata Ukiangalia walivyocheza na KITAYOSE wakala mbili nikwamba wanapoteana mapema.
AZAM amlimchapa zile 5 ndio ilitakiwa waanze kutafuta Jina,ILA sio kwa YANGA.

Mpira unadunda ila Mtibwa kwa YANGA over 2.5 nimeweka 9,000 with other matches
 
Yupo sana online matee ila ilimbidi aache kupost code za kimkakati humu!

Kuna macho humu Yana mikosi na laana za asili!...

Yakichungulia code yako... Tu!... Hiyo imeenda!... Kwenda lala!

Hata hii ya MWISHO nimehofia kuituma kwaajili ya hiyo fear!

Na lazima Nile leo!... Taka usitake! Penda usipende!

Lazima Nile!
😂😂😂😂😂😂 Alaaaaaa
Aisee nimejifunza JITU BANDA

Blessed

Hasa macho ya NALIA NGWENA aisee hutoboi na like sura lake kama Zombi ndio kabisaa

Sure Hassad ya Macho ni mbaya mnooo Tena mnooo,na mbaya zaidi mwenye Hasad hiyo mwingine hajijui kama anatembea nayo na anaishi nayo,Mbali na wale ambao nafsini kwao ipo ya asili ma dhahiri

Siunaona hata MSHANA jr wa Tiba Mbadala yumo humu kimyaaaa.
 
Mkeka mzuri
Ila mie sijawahi kuchukua over 2.5 yenye odds 1.37...naona risk ni kubwa halafu odds ndogo
Kuipa team moja pia ipate goli kuanzia mbili mie naogopa

Hivi win to nill maana yake nini?
Away team clean sheet nayo ni nini maana yake?

Nyongeza
Celtic,Chelsea,Lyon,Osijek na nyingine kama tatu nimezisahau zipo kwenye ignore list
Umeandika ki kike kike Sana

Nakubal bibie wangu
 
Wadau nataka niweke direct win hizi timu..Ushauri Pls
CRVENA ZVEZDA
CHELSEA
CELTIC
RIJEKA
MAN CITY
PARTIZAN BELGRADE
WREXHAM
HERTHA BERLIN

Double chances hawa hapa
NEWCASTLE W/D
LEIPZG W/D
BARCA W/D

HANDICAPS

Dortmunds+2
ATLETICO MADRID+2
YOUNG BOYS+2
SEVILLA+2
HAMBURGER+2

MCHAWI NANI?
Kwenye direct win nashauri umtoe Hertha Berlin, ,ni salama zaidi ukiipa hii mechi over 1.5 goals kuliko kuwapa win.
Pia huyo chelsea bora kumpa both teams to score - yes, kuliko kumpa Chelsea win.
Celtic na man city win zipo sawa, ni chaguo sahihi. Hizo mechi zilizobaki teams zake sizijui, sijui ni ligi ipi.
 
Yupo sana online matee ila ilimbidi aache kupost code za kimkakati humu!

Kuna macho humu Yana mikosi na laana za asili!...

Yakichungulia code yako... Tu!... Hiyo imeenda!... Kwenda lala!

Hata hii ya MWISHO nimehofia kuituma kwaajili ya hiyo fear!

Na lazima Nile leo!... Taka usitake! Penda usipende!

Lazima Nile!
Daah kwel kuna muda unaogopa Kutuma code ukihofia kitiliwa kimavi jamvin

Kwa mfano hapa Nina odds 1.60 nimetia mzigo mrefu Sana

Sasa nijichanganye nitume code uone
 
JITU BANDA Nakubali mawazo Yako

Ila kwa YANGA hiii na Mtibwa hiii ya sasa, hapana anakula za Kutosha mnoo

Atleast Angekuwa Kocha Nabi alikuwa anaafanya Rotation ya wachezaji ILA Gamondi kupara ambae bado anajitafuta aisee Balaa lilelile la First Eleven.

Mtibwa currently wanashida kubwa mnooo,Good that Matches zao nyingi nazio either Home au through my AZAM Max kwenye Sim.
Mifumo yao hairuhusu kwa aina ya wachezaji walionao kwa sasa,na hata Ukiangalia walivyocheza na KITAYOSE wakala mbili nikwamba wanapoteana mapema.
AZAM amlimchapa zile 5 ndio ilitakiwa waanze kutafuta Jina,ILA sio kwa YANGA.

Mpira unadunda ila Mtibwa kwa YANGA over 2.5 ningeweka 9,000 with other matches
Toa wayforward, maelezo ni mengi. Binafsi sijaelewa.
 
Wakuu hii option ina maana gani huko 1xbet[emoji116][emoji116],,, Goals in a row by single team
Screenshot_20231216-142824.jpg
 
Daah kwel kuna muda unaogopa Kutuma code ukihofia kitiliwa kimavi jamvin

Kwa mfano hapa Nina odds 1.60 nimetia mzigo mrefu Sana

Sasa nijichanganye nitume code uone
Weekend hii nina mikeka kadhaa, hadi wa odds laki mbili.
Sijashare humu kwa sababu wengi mkeka wako ulioshare humu ukichana dhihaka zinakuwa nyingi sana.
 
😂😂😂😂😂😂 Alaaaaaa
Aisee nimejifunza JITU BANDA

Blessed

Hasa macho ya NALIA NGWENA aisee hutoboi na like sura lake kama Zombi ndio kabisaa

Sure Hassad ya Macho ni mbaya mnooo Tena mnooo,na mbaya zaidi mwenye Hasad hiyo mwingine hajijui kama anatembea nayo na anaishi nayo,Mbali na wale ambao nafsini kwao ipo ya asili ma dhahiri

Siunaona hata MSHANA jr wa Tiba Mbadala yumo humu kimyaaaa.
Mshana Jr , UMUGHAKA
 
Back
Top Bottom