Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

8F0D788 Dagi ki-mong'oo!....
Mwendo wa Joanah ... Unaitwa huku miss 255... Uweke sahihi kwenye hii code... Ili iingie Sokoni...

Walaji wanasubiri uthibitisho wa miss 255 kwenye hiyo code ya SPORTYBET

Sahihi yako inasubiliwa huku mkemia mkuu wa over 2.5 mis 255 joana

Mkeka mzuri
Ila mie sijawahi kuchukua over 2.5 yenye odds 1.37...naona risk ni kubwa halafu odds ndogo
Kuipa team moja pia ipate goli kuanzia mbili mie naogopa

Hivi win to nill maana yake nini?
Away team clean sheet nayo ni nini maana yake?

Nyongeza
Celtic,Chelsea,Lyon,Osijek na nyingine kama tatu nimezisahau zipo kwenye ignore list
 
Win to nil = timu unayobetia either home au away ashinde bila kuruhusu goli Mfano 1-0 , 3-0 , 0-5

Away team clean sheets = timu ya ugenini isiruhusu goli lolote lile Mfano matokeo yakitoka 0-0 ,0-3, 0-1 nk unakua umeshinda .. naimani umeelewa miss
 
Siku kama ya leo na kesho... Mtu anasuka code... Unaweka team za championship kweli!? Stake mlima!...

Anyway ....Kila mtu na machaguo yake

Hakuna timu zenye matokeo ya kustaajabisha! Kama za championship
Ipswich na Leicester wapo consistent sana
Hao hata high stake unaweka na usingizi unalala vizuri tu.
 
Mkeka mzuri
Ila mie sijawahi kuchukua over 2.5 yenye odds 1.37...naona risk ni kubwa halafu odds ndogo
Kuipa team moja pia ipate goli kuanzia mbili mie naogopa

Hivi win to nill maana yake nini?
Away team clean sheet nayo ni nini maana yake?

Nyongeza
Celtic,Chelsea,Lyon,Osijek na nyingine kama tatu nimezisahau zipo kwenye ignore list
Win to nill maana yake timu ishinde bila kufungwa. mfano 1-0, 2-0, 3-0,. 4-0 , ............
Away team clean sheet maana yake timu ya ugenini isichafuliwe ubao(isifungwe) yaani wakidroo iwe ni 0-0 au away team win to nill.
 
Mbona ni option ngumu ila odds zake sio kubwa
 
Back
Top Bottom