Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,957
- 8,206
WADAU hapo maana yake nini mechi nane zime loose kati ya 35 ila mkeka inaonyesha haujachanwa na pia wala sioni kama mkwanja umeingia
Alaaaaaa sasa wewe unaanzaje FORM One Bila Kuja na Vifaa vya Shule, Jembe, slasher,Fajio,ndooo,chupi sita.WADAU hapo maana yake nini mechi nane zime loose kati ya 35 ila mkeka inaonyesha haujachanwa na pia wala sioni kama mkwanja umeingia
Duh nikajua haujachanika maana hawajauhamisha kwenye sehemu ya bet history upo kama open betAlaaaaaa sasa wewe unaanzaje FORM One Bila Kuja na Vifaa vya Shule, Jembe, slasher,Fajio,ndooo,chupi sita.
Karibu Shule,siku nyingine usirudie.Mkeka umechanika.
Dahhhh,navuta picha kichwani unawaza nini ktk Betting Mdau pole saana,ILA jifunze mtaani betting KWANZA Ili uingie ukiwa na idea atleast 70% idea of betting
nilipoona dk ya 80 nikapata mashaka sana, game za aina hii huwa inanitokea mara nyingi underdog anashinda.......MONACO ooooooooo
REBET iiiiiiii
Umechanika mikeka ya leo mpaka ya Uporo wa Kesho Shenztaiga
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Wana li striker limoja linaitwa Balogun ni bure kabisa kule mbele.MONACO ooooooooo
REBET iiiiiiii
Umechanika mikeka ya leo mpaka ya Uporo wa Kesho Shenztaiga
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Yaani hatarinilipoona dk ya 80 nikapata mashaka sana, game za aina hii huwa inanitokea mara nyingi underdog anashinda.......
juzi feyenoord nae nilikua nasubiri ashinde, celtic wakapiga la 2 dk ya 90+
Masharti ya hiyo bonus ni bora uipite kama huijui ni magumu balaa ww fanya kama hiyo bonus huioniWazee wenzangu hebu tuelekezane, hivi bonus account kwenye 1xbet unatumia vipi? Mie inanigomea na inaniambia nitumie ndani ya 24hrs
Kumbe humu peke ya yangu ndio sijalala,au kwa vile nipo na walevi weekend hii,wao wanaona Saa mbili Asubuhi aisee pombe nyiee
DA8CDB9 editedNimeokota wallet ya Kanji nikakuta Kubel na hii Code 352DA8 Sportbet.
Ukiweza edit n share....
Ameflex banaAlaaaaaa sasa wewe unaanzaje FORM One Bila Kuja na Vifaa vya Shule, Jembe, slasher,Fajio,ndooo,chupi sita.
Karibu Shule,siku nyingine usirudie.Mkeka umechanika.
Dahhhh,navuta picha kichwani unawaza nini ktk Betting Mdau pole saana,ILA jifunze mtaani betting KWANZA Ili uingie ukiwa na idea atleast 70% idea of betting
Timu Bora Saudi Ni Al hilal ikifuatiwa na Al nassr zingine zote takatakaHivi hayo matimi ya Uarabuni kila siku tunayakataa hapaa hasa Al ttihad yani ni zero hiyo timuuu hata Mwadui anajichapiaaa.. hao mastaa ni upuuzi tu afadhali Al nasr kidogo anajitahdi kupata matokeo...!! Waarabu ni takatakaaa...
Kwenu studio.....Mtego huo..Al ahly anashinda tena nyingi.
Rebet utume mkuu... pengine hatunalo..kuna behewa moja iv naona bado linahema la tangu jana