Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nani anaweza kuniambia kwann al ahly kapewa odds nyingi hivyo kwenye kombe la dunia la vilabu?
Bookmarker hajawahi kuanguka... Bali huwa anateleza... Na sumtimes anajitoa ufahamu! Kutembea peku kwenye lami saa8 mchana!!!

Kama una Imani hiyo... Tembea na handcap +2 kwa Ahly!....

Utajikuta ni wewe umetembea peku kwenye lami saa8 mchana... Ukidhani unaota!... Kumbe ndio uhalisia!

Overall over 1.5! Laminate hiyooo! Isinyeshewe na mvua!!!
 
Umeandika kaka, hatuoni ukitupia codes
Jaribu hii mkuu japo mbili zishamaliza.

IWE HERI KWETU SOTE!
IMG_20231215_122539.jpg


Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Kuangalia mpira pia kunasaidia kwenye kubashiri nimeangalia asilimia 90 ya mechi za al itthaad na nimeangalia asilimia 60 ya mechi za al Ahly vizuri kabisa! Na mrejesho ni hivi kwa Al itthaad huyo Al Ahly ni kama underdog na hata akamie mechi bado atapigwa tu na ukiangalia mchezaji mmoja mmoja Al itthaad iko vizuri asilimia 80 zaidi ya Al Ahly! Na pia mechi inachezewa huko saudia Keddah waarabu wa Saudia wamewekeza sana kwenye timu zao na wanasapoti sana mpira kwa hyo Al Alhy kwa kikosi chake kutoa hata droo leo ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano
 
Back
Top Bottom