Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tusikate tamaa wanangu ipo siku tutamuotea tu ni akili tu mtu wangu, check miso wa missondo muda wake sasa 👇
FB_IMG_17026409479864160.jpg
 
Kwa ujumla match za woman na youth hazielewek mkuu mm sipatani nazo kabisa.

Nahis muda si mrefu nitahamia kwenye basketball [emoji459]

Maana huku unakuta unampa mtu over 0.5 wanatoka 0-0 na magoli makubwa kabisa

halaf basketball mwanangu vigoli vidogo halafu viko juu watu wanafungana vikapu hadi 200 Bora nikacheze over basket [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usithubutu kuhamia kwenye basketball, uko ni disappointments tu kwa kwenda mbele
 
Nani anaweza kuniambia kwann al ahly kapewa odds nyingi hivyo kwenye kombe la dunia la vilabu?
Anaweza akapigwa alahly vzr tu kitu kilichofanya apewe nying kumbuka mashindo makubwa kama hayo alianza vibaya alicheza na USM Alger kma unakumbuka akapigwa 1-0

kuanzia hapo akawa anazingua zingua hasa kimataifa hajawah kuwa na match nzur hv karibuni kwahyo wanaamini hata hii ya Leo anaweza pigwa Tena hao iltihad sio wazembe

Amecheza match 6 kimataifa kuanzia super league had hii champion kashinda match moja tu ya medeama zilizobakia draw na kupoteza.

Sasa timu kma alitthad hayo mashindano kwake ni muhimu Hana Cha kupoteza lazima atapambana kufa nakupona kma alivyofanya USM Alger last time

wakat huo alahly hayo mashindano hatoyapa kipaumbele kwasb ana mazngr magumu akili yake ni kwenye champion kwasasa.
 
tangu nimpe shemeji yenu Samsung Tab S7 yangu, anaitumia kuangalia series ya Breaking Bad, na mimi nimejikuta napendelea kuitazama pamoja naye. nguvu kubwa ya kuandaa prematch za direct win sasa hivi siitumii, muda mwingi naangalia Breaking Bad. muda mchache ninaopata nacheza inplay. inplay napata muda wa kupumua siyo kama premach za direct win. prematch za direct win ni pasua kichwa, unatumia nguvu nyingi halafu matokeo favorite anapigwa 4-0.
 
Back
Top Bottom