Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii mechi ya Southampton u21 na mwenzake derby u21 ingenitoa roho bila gg..Yan over 2.5 ilikua ina odd ya 1.11 na mpaka sasa bado dk 10 ni 1-1, odd ndogo uchawi tuu.
Kuna jamaa alishauri ile alternative kwenye options naona ni nzuri kiasi
Hizo mechi za women na under XX years binafsi huwa naziona ngumu zaidi kubashirika
 
Hizo mechi za women na under XX years binafsi huwa naziona ngumu zaidi kubashirika
Kwa ujumla match za woman na youth hazielewek mkuu mm sipatani nazo kabisa.

Nahis muda si mrefu nitahamia kwenye basketball [emoji459]

Maana huku unakuta unampa mtu over 0.5 wanatoka 0-0 na magoli makubwa kabisa

halaf basketball mwanangu vigoli vidogo halafu viko juu watu wanafungana vikapu hadi 200 Bora nikacheze over basket [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bibie! AfisaUbashiriMwandamizi mbona unacheka cheka kwenye post zangu zote! Zaidi kumi na!... Uko heat period!? Kila dk napata notification zako tu!

Sipendi hizo mambo aisee... Tafuta mtu mwingine!

Hata post ambayo haichekeshi, ya msiba! Wee unakenua tu! Alaa!
Kwa vile sisi sote kwenye huu uzi adui yetu ni mmoja tu. Ni vyema tusipoteze target, adui yetu ni mmoja (kanjibai) Tumtazame adui tu na tushirikiane kumkabili
 
Back
Top Bottom