Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

08B34B🏀🏀🏀🏀
StitchIt_20231412113258_296.png

98927B 🏀🏀
 
Hio ndindawa ebbo silowi vyote

Nilisema hapo juu kwamba palipobakia no over 1.5 mwanzo mwisho, zimeticki thanks.

Na Mechi Zoote za UEFA leo ni Over 1.5

Haya hilo limeisha tunaanza siku zetu ngum tena
 
Kubet kama uchawi tu Yan mtu ushaliwa umechanganyikiwa unapewa cashout ya elfu 25 kwenye mkeka wa kushinda laki 3 na nusu unachukua halafu unatiki! Daa inauma sana sasa nahamia rasmi kwenye Kampuni isiyo na cashout maana huu sasa ni usenge! Wakuu kampuni gan nzuri isiyo na cashout kabisa? Wale wa kulalamika kila siku mara ohooo mbona hukutuma code! Huo nimeweka sa tano kasoro 10 Yan dakika 10 kabla ya mpira kuanza maana nlikuwa nshaliwa mechi za sa mbili nimechanganyikiwa mda huo
screenshot_20231215-010134-2-png.2842837
Screenshot_20231215-010322~2.png
Screenshot_20231215-010333~2.png
 
Kubet kama uchawi tu Yan mtu ushaliwa umechanganyikiwa unapewa cashout ya elfu 25 kwenye mkeka wa kushinda laki 3 na nusu unachukua halafu unatiki! Daa inauma sana sasa nahamia rasmi kwenye Kampuni isiyo na cashout maana huu sasa ni usenge! Wakuu kampuni gan nzuri isiyo na cashout kabisa? Wale wa kulalamika kila siku mara ohooo mbona hukutuma code! Huo nimeweka sa tano kasoro 10 Yan dakika 10 kabla ya mpira kuanza maana nlikuwa nshaliwa mechi za sa mbili nimechanganyikiwa mda huo
screenshot_20231215-010134-2-png.2842837
View attachment 2842840View attachment 2842842
Ungeshare tu humu mkuu. Sie tusingecash out
 
Jana mechi 1 tu ya ludo ndio haijaotoa over 1.5 mechi za saa2

Na mechi ya Brighton tu kwenye gemu za saa5,

Wale wa over1. 5 watakuwa wanasherehekea!

Nimechashout mechi ya Brighton dk ya 89!.. dk 1 tu! Casout inafungwa!

hapa ndipo huwa nawakubali SPORTYBET kwa cash out.. hawana baya, kwenye cash out kbs... Waliniokolea mtaji
 

Attachments

  • Screenshot_20231215-073515.png
    Screenshot_20231215-073515.png
    19.3 KB · Views: 30
  • Screenshot_20231215-073622.png
    Screenshot_20231215-073622.png
    19.3 KB · Views: 20
Brighton na Marseille wameona wakifungana tutafaidi...vitu kama hivi ndo maana naona Bora niflex nipate hela ndogo kuliko kila siku kulia nimekosa hela kubwa kisa mechi moja
Kitu kibaya na kigumu kujua ....

Ni mke Gani anaweza kuleta ukimwi nyumbani!?... Kati ya mke mkubwa!? Ama mdogo!?

Chaajabu mke mkubwa(Brighton) ameleta ukimwi nyumbani!

na yeye ndie alipaswa kuwa kiongozi muongoza njia!
 
💥💥At least chupa limeamka na chai!
🏀🏀 Jana haikuwa bahati kwenye football kwangu.

Nikaikumbuka maabara yangu ya kikapu!
 

Attachments

  • Screenshot_20231215-080142.png
    Screenshot_20231215-080142.png
    22 KB · Views: 23
Jana mechi 1 tu ya ludo ndio haijaotoa over 1.5 mechi za saa2

Na mechi ya Brighton tu kwenye gemu za saa5,

Wale wa over1. 5 watakuwa wanasherehekea!

Nimechashout mechi ya Brighton dk ya 89!.. dk 1 tu! Casout inafungwa!

hapa ndipo huwa nawakubali SPORTYBET kwa cash out.. hawana baya, kwenye cash out kbs... Waliniokolea mtaji
Sijui kwanini kwangu cash out inagoma Hata dakika ya 70
 
Back
Top Bottom