Kule Mechi zinachezwa huku sie tunazicheza kwa mdomo,hatari nanusu
Ashapigwa 2Liverpool atatoka 1-1
Hata wakiwepo, Kipigo kipo palepalee
hizi zinatoa mkuu, huyu wa katikati tauari keshatoa, hao wengine wana goli 3 bado moja moja!Hii kitu sijui ni cash out au nitulie.
Sawa mkuu, ngoja nitulie niweke na notification kweny kila mechi hizo mbili kwenye sofa scores Apphizi zinatoa mkuu, huyu wa katikati tauari keshatoa, hao wengine wana goli 3 bado moja moja!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah we jamaa umenikumbusha vere faaaaaaa
Paok kawaje tena????Natanguliza pole kwa wale wote waliomfata liverpool na paok usiku huu!!
Booooooommm ,, tayariii mzeeehizi zinatoa mkuu, huyu wa katikati tauari keshatoa, hao wengine wana goli 3 bado moja moja!