Daah,, VAR waseeengee 🤣🤣🤣Booooooommm ,, tayariii mzeee
Daah,, VAR waseeengee 🤣🤣🤣Booooooommm ,, tayariii mzeee
Man utd wanaweza shida, kuna muda mende huangusha kabati.Hata wakiwepo, Kipigo kipo palepalee
Hawacheza Mie tayari nimeishawapa matokeo yao liverpool
😂😂😂 Duhh hapana si hii ninayoijua Mie.Man utd wanaweza shida, kuna muda mende huangusha kabati.
Hapana MdauKuna match zaidi ya mia livebet, jaribuni pia.
Sporty
Yaani dahMm nimeyakanyaga kwa panathinaikos
Huyo bwege pamoja na kumfunga mwenzie 7 yeye ndo katokaLudogorets alivyoote zile goals 7 wengi tunajua angalau over 1.5 ipo
Sasa hata over 0.2 hakuna
Aisee Betting kama kuhonga vile,yaani unatoa pesa huku unajichekelesha,na huku vilevile unaliwa huku unacheka.
MUNGU mkubwa Wahehe wengi hawabeti,la sivyo kamba madukani zingeisha
jinga hilo limechana mkeka wangu una wiki 2, angedraw angeenda conference,Mm nimeyakanyaga kwa panathinaikos
Naelewa mkuu ukisema no umeruhusu goal na ukisema yes umekataa goal Kwa timu husika au ???Kwani clean sheet no maana yake unaielewa kweli wewe?? Au kingereza mmekuja kuijulia kwenye mikeka??
Alaaa,sijatuliziaHuyo bwege pamoja na kumfunga mwenzie 7 yeye ndo katoka
Umechanika huko mdauuuu,live betting ndio masnema yake hayooo.Wakuu hii inakwaje, nilifanya live bet mechi kadhaa, mechi ya livepool ilipokuwa na magoli mawili nilibet over 2.5 katika ile process mkeka kukubaliwa goli ikaingia wakaandika win hawakukataa, ila wakaandika over 3.5 win, wakati mi nimebet over 2.5 halafu process goli la tatu kuingia si wangekataa,wao wakakibali wakatiki mķeka halafu wakaweka over 3.5 ambayo mi sikuweka, mkeka umetiki hiyo mechi tu ipo pendingView attachment 2842784
Sent using Jamii Forums mobile app