Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,957
- 8,206
Master leta codes tuishi💥💥At least chupa limeamka na chai!
🏀🏀 Jana haikuwa bahati kwenye football kwangu.
Nikaikumbuka maabara yangu ya kikapu!
Master leta codes tuishi💥💥At least chupa limeamka na chai!
🏀🏀 Jana haikuwa bahati kwenye football kwangu.
Nikaikumbuka maabara yangu ya kikapu!
Hongera mdau,Kubet kama uchawi tu Yan mtu ushaliwa umechanganyikiwa unapewa cashout ya elfu 25 kwenye mkeka wa kushinda laki 3 na nusu unachukua halafu unatiki! Daa inauma sana sasa nahamia rasmi kwenye Kampuni isiyo na cashout maana huu sasa ni usenge! Wakuu kampuni gan nzuri isiyo na cashout kabisa? Wale wa kulalamika kila siku mara ohooo mbona hukutuma code! Huo nimeweka sa tano kasoro 10 Yan dakika 10 kabla ya mpira kuanza maana nlikuwa nshaliwa mechi za sa mbili nimechanganyikiwa mda huoView attachment 2842840View attachment 2842842![]()
Naomba odds. 3-5 za leo mkuuHongera mdau,
Kampuni nenda BETIKA,huko hakuna Cashout,ni wewe na roho yako tu
Zenye asilimia kubwa ya kutoaNaomba odds. 3-5 za leo mkuu
Chunga Sana option hizi SPORTYBET hazina Cash out!,Sijui kwanini kwangu cash out inagoma Hata dakika ya 70
Naomba odds 3-4 za leo zenye asilimia kubwa ya kutoaChunga Sana option hizi SPORTYBET hazina Cash out!,
Win either half,
Home team or GG/Away team or GG(ukitaka cash out kwa hii option Haipo!.. ukitaka cash out...Tumia option sawasawa na hii- Away team clean sheet No/Home team clean sheet No-...
Ni option mbili zinafanana... Lakini ya juu Haina cash out!, ya chini ina cash out!
Pia option zote za "Special bets" hazina Cash out!... Kwa mfano; "Away team win & Over 1.5'
Wengine wataongezea....
Code zote za kimkakati huwa siweki option hizo... Ili kujilinda!
Huhitaji kulalamika mkuu, Elewa mantiki ya cashout,Kubet kama uchawi tu Yan mtu ushaliwa umechanganyikiwa unapewa cashout ya elfu 25 kwenye mkeka wa kushinda laki 3 na nusu unachukua halafu unatiki! Daa inauma sana sasa nahamia rasmi kwenye Kampuni isiyo na cashout maana huu sasa ni usenge! Wakuu kampuni gan nzuri isiyo na cashout kabisa? Wale wa kulalamika kila siku mara ohooo mbona hukutuma code! Huo nimeweka sa tano kasoro 10 Yan dakika 10 kabla ya mpira kuanza maana nlikuwa nshaliwa mechi za sa mbili nimechanganyikiwa mda huoView attachment 2842840View attachment 2842842![]()
Namalizia kunywa supu,Naomba odds 3-4 za leo zenye asilimia kubwa ya kutoa
hatari sana iseeHuhitaji kulalamika mkuu, Elewa mantiki ya cashout,
Cashout ni mkataba wa maridhiano... Baina ya wewe kama mwajiriwa, na SPORTYBET kama Mwajiri...
Mnapeleka Shauri mahakama ya kazi (CMA)...
Katika hatua ya awali tu ya kwanza (Mediation) mnakutanishwa wewe na Mwajiri...
Mnaridhia kwa pamoja kuachana na hiyo kesi ...
Mwajiri(SPORTYBET) anakawambia akulipe mishahara ya miezi 6 unakubali... Kwa kuwa umepigwa doro mda mrefu mtaani....
Baadae unagundua wenzako waliokataa malipo kiduchu... Na kuacha kesi iendelee hatua ya MWISHO(arbitration -maamuzi)
Unagundua kuwa mahakama iliamuru walipwe mishahara ya miezi (36)... Huku wewe Bado ukiwa mtaani ... Umeshakula kale kahela kameisha!
Inauma sana... Ushauri! - Cashout kimkakati!... Pale tu unapoona huna namna nyingine ya kupata stake(kukojoa mtaji)
Mimi nna kiburi kwenye cashout mzee! Nikiwa nna uhakika wa stake... Hata unipe cashout ya laki 4 Bado mechi mbili Nile milioni... Sicashout mzee,
Niliwahi kusacrifice cashout ya 37,000 Bado mechi 2 Nile laki 4... Code ikachana....!
Code nyingine wakanipa Cashout 68,000 Bado mechi 2 Nile 390,000 Bado dk3...Nikakaza na ikatoa( Elewa hapa nilikuwa na uhakika wa mtaji! (Affording to lose such kind of amount)
odd 5 nyingi hivyooo.Buchani- Ukiwa na stake,... Sio nyama mchanganyiko(mixer mifupa).... (Elewa maana ya neno Stake!)....
Ndio unaona namna Gani ilivyo ngumu kupata odds5!... Na jinsi zilivyo nyingi!