Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Championship... Timu 2 tu Leeds na Leicester ndio naziguarantee msimu huu
Upo vizuri sana JITU BANDIA , kama mtu anafuatilia na kuzipa tafsiri sahihi reply zako lazima apige pesa sana.
Hata jana mchango wako kwenye mechi za Alahly na Simba ulikuwa sahihi.
Hii reply yako inamaana weekend hii Leeds na Leicester wanawin mechi zao.
Kudos,
 
Weekend hii nimebetia TZS 303,000/=.
Inshallah bado mikeka inapumua. Huyu mchawi totenham bora nilimkwepa kumpa over 2.5 goals.
kama utaona hapo juu ninamikeka ya groups tatu; mkeka mmoja wa kushinda milioni 16, mikeka kadhaa ya kushinda bilioni 3 na mikeka kadhaa ya kushinda bilioni 5.
Inshallah mikeka itatiki weekend hii, amen.
Code mkuu
 
Code mkuu
Web version ya premier bet haina option ya kugenerate code.
Kama kuna mechi yeyote wewe uliza, nitakujibu tu. Ila iwe kwenye ligi kuu za Uingereza, Ufaransa, Uhispania, ujerumani, Ureno, Uscochi na Uholanzi. Hizo ndiyo pekee nimebobea.
Ligi zingine na/au mashindano mengine huwa sicomment kabisa. Sifuatilii chochote nje ya hapo.
 
Kw wafuatiliaji wa league 2 England.
Wrexham kama huwa namuamini sana.
Wrexham kwangu nna bahati mbaya na mwenzake Ipswich... Ni kama wako ON and OFF kwangu....

Siku nikimwingiza mmojawapo geto .. anagoma kutoa mzigo!...

Siku sina mood nao kabisa!... Ndo nasikia simu "baby nimekuja geto uko wapi" muda huo sina habari mood ishakata ...basi mambo tafarani!
 
😂😂😂😂😂

Mwenye kuacha betting au kupumzika hasemi.

Matee alikuwa ana Stake mpaka 250,000 kasepa kimyakimyaaa
Yupo sana online matee ila ilimbidi aache kupost code za kimkakati humu!

Kuna macho humu Yana mikosi na laana za asili!...

Yakichungulia code yako... Tu!... Hiyo imeenda!... Kwenda lala!

Hata hii ya MWISHO nimehofia kuituma kwaajili ya hiyo fear!

Na lazima Nile leo!... Taka usitake! Penda usipende!

Lazima Nile!
 
Yupo sana online matee ila ilimbidi aache kupost code za kimkakati humu!

Kuna macho humu Yana mikosi na laana za asili!...

Yakichungulia code yako... Tu!... Hiyo imeenda!... Kwenda lala!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dah nyie jamaa..
 
Web version ya premier bet haina option ya kugenerate code.
Kama kuna mechi yeyote wewe uliza, nitakujibu tu. Ila iwe kwenye ligi kuu za Uingereza, Ufaransa, Uhispania, ujerumani, Ureno, Uscochi na Uholanzi. Hizo ndiyo pekee nimebobea.
Ligi zingine na/au mashindano mengine huwa sicomment kabisa. Sifuatilii chochote nje ya hapo.
Screenshot mech page moja au mbili
 
Back
Top Bottom