pole sana mdau,jipe moyo ipo siku huyu kenge atapasukahuu ni msiba wa kitaifa
pole sana mdau,jipe moyo ipo siku huyu kenge atapasukahuu ni msiba wa kitaifa
hii ni addict,TAARIFA KWA WAZEE WENZAGU
Ndg zangu wakubwa na wadogo habarini za mchana huu...
Nmekuja kwenu ndugu zangu na maskitiko makubwa na taarifa ya kuacha mchezo huu wa kubashiri swala hili limekuja baada ya kupoteza kiasi cha ml4 ndani ya mda wa wiki moja
Na jana nimepoteza laki saba kwa mechi ya Man City [emoji24] na ndiyo bashiri ya mwisho kabisa kwangu nmelala nikitafakari na jibu nmelipata niache kabsa mara1 kubet
Hivyo basi nmekuja kwenu mnipe baraka zote kwa hili wazo langu nmeumia sana nimefuta kila kitu pamoja na mafaili ya kuchambua mechi
Na leo ndio mwisho wangu kuingia jukwaa hili nitakua kwenye majukwaa mengine
Hizi ni baadhi ya hasara[emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 2844887View attachment 2844888View attachment 2844889
Asanteni Sana
Exalioth-yuda
jf_geita
Loss ndogo sana iyo.
Ilo buku lirushie kindege utarudisha pesa yako leoleo na faida [emoji123]
Kabisaa kiwango cha kula atleast kiwe reasonable ukiringisha na hela uliyoweka sijui lini watu watakuja kuelewa hamna sure odds hata odd 1.08 inachana tu! Wote tunabashiri lakini kuna watu huwa wanajitakia tu kuliwa! Kwa hzo odds hata ukimla kanji mara kumi na yeye akakula mara mbili tayari wewe una hasara kubwa sana ya asilimia mia moja! Tuangalie hela tunayoweka na tunayotarajia kupata angalau viendanehii ni addict,
unastake 200k upate 225k kweli?
hapa ukiliwa ili urudishe hasara yako itakupasa ushinde mikeka 10 mfululizo ndio unarudisha pesa yako.......
risk ya kuliwa ni kubwa kwa 1:10.......
Mkuu, mimi huu mwaka tu nishakula loss zaidi ya uyo jamaa mpaka nilitangaza kuacha kubeti ila kwa sasa nimerudi kivingine kwa strategy mpya.[emoji23][emoji23] huna huruma wewe matamanio yako ni ikombwe yote au sio
Us***ge ni pale ambapo ov 2.5 unakuta ilikuwa na Odds 1.21Nahisi kuzimia wakuuView attachment 2845119
Daaah mkuu siamini macho yanguUs***ge ni pale ambapo ov 2.5 unakuta ilikuwa na Odds 1.21
Nishaachana na League ya Australia, Norway, Sweden & Denmark
Uliweka option gani mkuu ?Daaah mkuu siamini macho yangu
Hiyohiyo over 2.5Uliweka option gani mkuu ?
Sasa hivi unacheza kuondoa arosto tu (withdrawal symptoms).Mkuu, mimi huu mwaka tu nishakula loss zaidi ya uyo jamaa mpaka nilitangaza kuacha kubeti ila kwa sasa nimerudi kivingine kwa strategy mpya.
Unaona iyo balance apo juu? Mara ya mwisho kudeposit sikumbuki maana ikikikaribia kuisha nairushia kindege napata mtaji
ama kweli vita umepigana salama na mwendo umeumaliza. Tufanye deposit upya mkuuHiyohiyo over 2.5