Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duu wanangu mmetoboa Safina ndo kwanza safari inaanza 😂😂 nimeamini humu watu wana husuda Yan huwezi amini wengi walikuwa wanaombea Safina Litoboke 😂🙌 humu ndani hatutakuja kushinda pesa ndefu mpaka tutakapoacha uchawi! Sahz siweki Code ila nikila lazima nije niwaringishie mkitaka mnipige mniueee tu 😄
itakuwa mkeka wako haukuchambua vizuri, mbona wana wanapostigi codes na zinawin fresh tu. code yako uliipamba sana ndiyo maana ilivyochana tu umekuja kutupoza. sisi wa miamia hatuna stress hata kama imechana, sijui wa stake kubwa.

kuipamba code siyo mpango wazee, ikichana unatafuta sababu au pa kujificha. kuna mhuni anaipamba code anakwambia "hiyo code ni uhakika nimeichambua nikiwa uchi wa mnyama", 🤣🤣🤣 kweli jamani hiyo?!!!. kuna mmoja kapotelea wapi sijui, alikuwa anakwambia stake hata matako.

mambo ya kuipamba code mnapotezea watu stake zao ujue. ukiweka code weka kimyakimya halafu tulia. siyo tantalila nyiiingiii
 
TAARIFA KWA WAZEE WENZAGU

Ndg zangu wakubwa na wadogo habarini za mchana huu...

Nmekuja kwenu ndugu zangu na maskitiko makubwa na taarifa ya kuacha mchezo huu wa kubashiri swala hili limekuja baada ya kupoteza kiasi cha ml4 ndani ya mda wa wiki moja

Na jana nimepoteza laki saba kwa mechi ya Man City [emoji24] na ndiyo bashiri ya mwisho kabisa kwangu nmelala nikitafakari na jibu nmelipata niache kabsa mara1 kubet

Hivyo basi nmekuja kwenu mnipe baraka zote kwa hili wazo langu nmeumia sana nimefuta kila kitu pamoja na mafaili ya kuchambua mechi

Na leo ndio mwisho wangu kuingia jukwaa hili nitakua kwenye majukwaa mengine

Hizi ni baadhi ya hasara[emoji24][emoji24][emoji24]

View attachment 2844887View attachment 2844888View attachment 2844889

Asanteni Sana
Exalioth-yuda
jf_geita
Pole sana mkuu kwa yaliyotokea. Hongera kwa uwamuzi ulioufikia nakutakia kila la heri.
Naomba niweke mambo kadhaa ili tunaobaki tusifikie hatua hii ya mwenzetu kupata loss kubwa katika kipindi kifupi.

1. Tusifanye betting ni chanzo cha kipato kwa ajili ya kuishi kwa maana ya kupata malazi, chakula na nguo n.k bali tuichukulie betting ni mchezo ambao unaucheza kwa malengo ya kujifurahisha na kupoteza muda ambao ungeutumia kwa mambo ya hovyo kwa mfano kunywa pombe, kupiga nyeto n.k

2. Weka kiwango cha pesa ambacho kikiliwa hakitaharibu bajeti zako na wala hakitakuuma roho. Sasa hii inakuja kuwa ngumu endapo mtu akishinda hela nyingi kwa mfano kuanzia 500k na kuendelea. Hapo sasa mtu atataka aanze kutafuta odds mbili au mechi moja anaanza kucheza laki laki au milioni na kupelekea kuliwa hela zote kwa muda mchache. Usibadilishe mfumo wa kustake hata kama umekula 100M. Kamari huwa ina addiction utataka upate 200M.

3. Usiruhusu betting ikakuharibia mfumo wako wa maisha. Hapa namaanisha usibeti kila siku. Beti at least mara mbili kwa kwa week nikimaanisha zile siku za mechi nyingi kwa mfano jmosi na j2 au mechi za UEFA na EUROPA etc... Ukiwa mtu wa kubeti kila siku utakuwa mtumwa wa kukaa na simu muda wote usiku na mchana, utakuwa mtumwa wa kununua bando za internet kila siku, hutakuwa na muda wa kukaa na washkaji kubadilishana mawazo n.k
Kwa hiyo hapo namaanisha uwe na siku maalum za kubeti.

4. Usifate mkumbo. Kuna watu wanabeti hela ya ziada ambayo wanaipata out of salary kama ni mfanyakazi. Kuna ambao wanapewa na wazazi wao kama ni familia bora n.k
Kwa hiyo wewe jiangalie wewe kama wewe unaipataje hela. Kama huna kipato kikubwa na huna cha ziada basi kuwa makini sana usije ukaiga utapotea vibaya mno.

4. Mwisho kabisa kwa kuzingatia hayo mambo hapo juu niliyoyaandika, naomba niwatakie kila la heri kwenye huu mchezo wa kubahatisha. Kumbuka betting ni bahati nasibu, usicheze kwa matarajio ya kushinda ili usiwe mtu wa kujilaumu. Wewe cheza kwa kujua unaweza ukashinda siku yoyote.

Ahsanteni sana. Mapambano yaendelee.
 
TAARIFA KWA WAZEE WENZAGU

Ndg zangu wakubwa na wadogo habarini za mchana huu...

Nmekuja kwenu ndugu zangu na maskitiko makubwa na taarifa ya kuacha mchezo huu wa kubashiri swala hili limekuja baada ya kupoteza kiasi cha ml4 ndani ya mda wa wiki moja

Na jana nimepoteza laki saba kwa mechi ya Man City [emoji24] na ndiyo bashiri ya mwisho kabisa kwangu nmelala nikitafakari na jibu nmelipata niache kabsa mara1 kubet

Hivyo basi nmekuja kwenu mnipe baraka zote kwa hili wazo langu nmeumia sana nimefuta kila kitu pamoja na mafaili ya kuchambua mechi

Na leo ndio mwisho wangu kuingia jukwaa hili nitakua kwenye majukwaa mengine

Hizi ni baadhi ya hasara[emoji24][emoji24][emoji24]

View attachment 2844887View attachment 2844888View attachment 2844889

Asanteni Sana
Exalioth-yuda
jf_geita
Hongera sana Mkuu. In fact hata kuja kijitangaza humu umekosea maana Kuna wapuuzi wachache watakubeza na unaweza ukarudi nyuma.
Nashauri shika msimamo huo huo, tafuta kitu za kuku keep busy, futa app na connection zote za Taarifa za betting, hata JF nyuzi za betting acha kabisa. Narudia tena Hongera kwa kujiwahi.
 
itakuwa mkeka wako haukuchambua vizuri, mbona wana wanapostigi codes na zinawin fresh tu. code yako uliipamba sana ndiyo maana ilivyochana tu umekuja kutupoza. sisi wa miamia hatuna stress hata kama imechana, sijui wa stake kubwa.

kuipamba code siyo mpango wazee, ikichana unatafuta sababu au pa kujificha. kuna mhuni anaipamba code anakwambia "hiyo code ni uhakika nimeichambua nikiwanuchi wa mnyama", 🤣🤣🤣 kweli jamani hiyo?!!!. kuna mmoja kapotelea wapi sijui, alikuwa anakwambia stake hata matako.

mambo ya kuipamba code mnapotezea watu stake zao ujue. ukiweka code weka kimyakimya halafu tulia. siyo tantalila nyiiingiii
Kimya kimya hainogi code lazima isindikizwe na ngonjera kidogo 😂 mechi tunachambua vizuri ila humu ukiweka code haitiki nakwambia kwanzia matren yameanza kutumwa code ya nani ishatiki hata mtu akala atleast laki 4 tu?
 
Baada ya miaka miwili ya kuachana na hawa matapeli betway....

Leo naona notification bonus credited!....
Na mm nimewarudishia bonus yao kwa dizaini hii... 5B7E051
 

Attachments

  • Screenshot_20231217-183043.png
    Screenshot_20231217-183043.png
    23.7 KB · Views: 19
Kimya kimya hainogi code lazima isindikizwe na ngonjera kidogo [emoji23] mechi tunachambua vizuri ila humu ukiweka code haitiki nakwambia kwanzia matren yameanza kutumwa code ya nani ishatiki hata mtu akala atleast laki 4 tu?
Usiseme uongo... mimi mwezi ulopita kuna mtu alituma code ya betpawa nikala 607,060
Yaani laki sita.

Majuzi kama sio the end ni mwingine alituma code nikala laki. Ila sijawahi kula code nilotengeneza mimi.
so kushare kunasaidia sana.
By the way ukishare tukala wote hupungukiwi kitu maan hela hatoi aloleta code,, hela inaliwa ya kanji.
 
Tolouse v rennes toka dakika ya 24 nimewaomba wasaidiane wapate goli 1 tu mpaka sasa dakika za 88 jahazi linakwenda kuzama.
 
Note: Huyu mwamba Omary marmoush naona leo hachez ana kadi ya njano na ni jamaa ambaye anakiwasha sana kwenye kufunga na assist kwa Frankfurt na dogo anajua sana bori ila leo hayumo ndo maana kanji naona GG ya Leverkusen kaweka 1.93 hivyo tumpe Leverkusen win hyo Yan bila huyu dogo Frankfurt sio kitu kabisa 🙏 ila mpira unadunda pia!
 
Mbona leo kanji kama atatemaa nyongooo...!!! Atuliee hatupokei hongooo
 
Duu kanji huyu ni genius Yan kaniwekea odds 1.94 ya GG kwa Frankfurt nikaogopa naona mbona odds nyingi hivi kuna nn kumbe kanitega tu ili niache! Nachek mpira hapa Frankfurt wanaupiga vizuri tu na Leverkusen kashakojolewa kimoja hivyo GG hapa itatoa daa kweli uoga wako ndo umaskini wako
 
Back
Top Bottom