Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duu kanji huyu ni genius Yan kaniwekea odds 1.94 ya GG kwa Frankfurt nikaogopa naona mbona odds nyingi hivi kuna nn kumbe kanitega tu ili niache! Nachek mpira hapa Frankfurt wanaupiga vizuri tu na Leverkusen kashakojolewa kimoja hivyo GG hapa itatoa daa kweli uoga wako ndo umaskini wako
Kwaiyo Leverkusen kashakojolewa sio?

Aisee angalia huenda ngumi za kanji zimeshaathiri ubongo wako.
 
Leverkusen anaongoza moja

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Duu kanji huyu ni genius Yan kaniwekea odds 1.94 ya GG kwa Frankfurt nikaogopa naona mbona odds nyingi hivi kuna nn kumbe kanitega tu ili niache! Nachek mpira hapa Frankfurt wanaupiga vizuri tu na Leverkusen kashakojolewa kimoja hivyo GG hapa itatoa daa kweli uoga wako ndo umaskini wako
Dalili mbaya za Betting hizi,uzeeni si itakuwa shida
 
Hapo kila mtu kichwa kimewaka moto
Utafikiria tu.elazimishwa kubetia liverpool vs Man United

Wakiset corners mambo safiiii
Cards/Bookings safiii za kutosha
 
Niongeze bia sasa mwendo nimeumaliza
 
Attachments

  • 20230923_200439.jpg
    20230923_200439.jpg
    15.7 KB · Views: 15
Kwaiyo Leverkusen kashakojolewa sio?

Aisee angalia huenda ngumi za kanji zimeshaathiri ubongo wako.
😂😂😂 kanjii kanichanganya kwa vipigo mpaka jezi naona kama za Frankfurt kumbe waliofunga ni Leverkusen
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
man u kashikilia bombaaaa 90 mns
Hakuna marehemu ataachakuzikwa
 
Back
Top Bottom