Leo nimeshinda nachambua timu na kwenye huu uzi tu mpaka mbupu zinawaka moto ila mwisho wa siku hamna nilichopata kanjii kachukua mikeka yote! Bora ningeenda hata beach nikala upepo wa bahari! Nipeni odds 4 nimalizie haka ka elfu 11200 kalikobaki sporty bet ili nihesabu hasara tu jumla kwa leo 😔