Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

FTX
 

Attachments

  • IMG_20231217_223133_517.jpg
    IMG_20231217_223133_517.jpg
    31.1 KB · Views: 26
Huyu kanjibai mbona simwelewi

Izi games mbili inakuaje zina dkk 17 nyingine 11 ?
 

Attachments

  • Screenshot_20231217_222609.jpg
    Screenshot_20231217_222609.jpg
    169.4 KB · Views: 23
Sijui nicheze kamar gan mimi...yaan kuna jamaa analalamikq eti kaliwa mil 4 kwa wiki cjui mwez afu anakata tamaa...? Na bado mkampa polee?? Ni umasikin huo..afu mbaya zaid anaweka laki laba apate laki na nusu faida...aisee na bado mnampa polee...?? Mi nacheza na akil yake tuu ipo siku..

Nb kindege( Aviator) sitaki kukisikia...siwez poteza mil 1 kwa 1sec..
 
Pokea maua yako nibaki kujilaumu mwenyewe kwa stake ya uwoga
Mkuu hahaha jana pia alichana dortmund second half ipatikane tu goal 1 ila kipindi chapili team yoyete game 9 katika 10 zilitoa,jamaa ni almost kila siku anatuma 25_26 odds zinatoa sna i can say probability ni 80% leo m nlistake padogo pia but week iliopita nilistake vzr ikatoa parefu
 
View attachment 2845458anaejua maana ya hii market vizuri naomba ufafanizi nisije nikayakanyaga[emoji38]
Kufunga magoli in a row ni kwamba timu moja ifunge idadi fulani ya magoli bila kuingiliwa na goli kutoka upinzani.
Kwa huo mfano wako ni ukubali au ukatae kwamba kuna timu itafunga magoli matatu mfululizo bila timu pinzani kutibua mtiririko huo. Haijalishi matokeo ya full time yatakuaje
 
Back
Top Bottom