Forest sijawahi waamini hata washinde game tano mfululiz0Arsenal double chance and over 1.5
Man city win 1.5 ov
Liver win 1.5 ov
Forest 1x and 1.5 ov
Madrid win 1.5 ov
Jana barca win 1.5 ov
Anza na hizo weka laki moja
Ndio ametoa pesa nyingi sana msimu huu tena kwa odds 2+, angalia huyo anaecheza nae kwanza halafu yupo ugeniniForest sijawahi waamini hata washinde game tano mfululiz0
Dondosha code tumalizie
Man u anakamia timu zinazo toka top 4Ndio ametoa pesa nyingi sana msimu huu tena kwa odds 2+, angalia huyo anaecheza nae kwanza halafu yupo ugenini
Nimemlinda kwa 1x ,we unadhani man u atawapiga forest? Halafu man yupo ugenini? Bruno na yule mdenmark wametoka kwenye mechi mbili ngumu za mtoano timu za taifa
SawaMan u anakamia timu zinazo toka top 4
555C35Dondosha code tumalizie
Kampuni gani555C35
SportybetKampuni gani
SportyKampuni gani
0k ng0ja nikaweke dauSporty
Hivi hakuna namna ya kufanya nisione post za huyu jamaa?
We njoo na ID zako zote lakini ndio nimeshakupa ukweli na ban juu.Wivu ni ugonjwa mbaya sn. Mungu akusaidie upate namna ya kupata kama anavyopata yeye. Kuchukia haitakusaidia lolote zaidi ya kupata msongo wa mawazo au sonona.
Anyways, fuata ushauri aliokupa na maisha yaendelee.
Mi nina maumivu ya kupigwa na muhindi we unaniletea matangazo ya ajabu.Wivu ni ugonjwa mbaya sn. Mungu akusaidie upate namna ya kupata kama anavyopata yeye. Kuchukia haitakusaidia lolote zaidi ya kupata msongo wa mawazo au sonona.
Anyways, fuata ushauri aliokupa na maisha yaendelee.
Mkuu mbona wewe ni mkongwe kwenye hii idaraWivu ni ugonjwa mbaya sn. Mungu akusaidie upate namna ya kupata kama anavyopata yeye. Kuchukia haitakusaidia lolote zaidi ya kupata msongo wa mawazo au sonona.
Anyways, fuata ushauri aliokupa na maisha yaendelee.
Mkuu mgonge ignore hutaona tena takataka zakeMi nina maumivu ya kupigwa na muhindi we unaniletea matangazo ya ajabu.