Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Attachments

  • Screenshot_20250329-162312.jpg
    Screenshot_20250329-162312.jpg
    112.1 KB · Views: 24
Haha haujamjua kanji vizuri.anakuvuta ,Leo hiyo laki mbili mkeka ukitiki,utanogewa siku nyingine utie laki Tano,apo ndio anakulamba za uso.
Ah jamani yaani kisaka mechi tatu tuu 0dds za 1.70 jmosi na jpili mechi zote ulimwenguni iwe tabu...ebu wacheni zenu ngoja tujaribu hii formula.
Tusake mechi moja ya btts na mbili za o1.5 tuone kwa wiki sita tutatengeneza kiasi gani.
Tena naomba wee mwenyewe ulete mechi tatu tuu. Odds zisizidi 1.70
 
Back
Top Bottom