Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

5ltio9.jpg

#NBA MIDNIGHT 🏀🏀

Odds: 2.3

Code 👉 D811E

Jisajili PariPesa👉 https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code Use👉 TIPS2424

Pata 300,000 Bure Ukijisajili Na Kuweka Promo Code TIPS2424 Na Kudeposit Kwa Mara Ya Kwanza.
 
Mkuu mbona wewe ni mkongwe kwenye hii idara

Unatetea vipi wazee wa promo code zao na demo acc zao?

Yaani mtu uzi umekua kama wake kufanyia matangazo ya promo code kwa demo acc zake halafu unasema anaonewa wivu?

Kwamba unataka watu wote humu tuwe kama yeye kwa kuoewa demo na kuanza kuhadaa watu wajiunge wapate bonus fake ili tupate kamisheni

Thanks to ignore list
Sioni tena upuuzi wake

Hili ni jukwaa la kupeana mbinu na sio kuingizana mkenge

Mimi pia nilishamwignore kitambo sana
 
3pzze1.jpg

ON PARIPESA

Odds: 2.4

Booking Code 👉 AQKRE

Jisajili PariPesa Hapa 👉 https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code Weka 👉 TIPS2424

Tumia Promo Code TIPS2424 Wakati Wa Kujisajili Na Deposit Upate Bonus Ya Mpaka 300,000 Kwa Mara Ya Kwanza.
 
Jama i nahitaji mechi moja ya btts na mbili za 0 1.5 niweke laki mbili. Natake hela ya eid jamani
Bro Nashauri Ungesema Odds ngap unataka.

Ila German zile game zote zinaweza toa GG kasoro ya buyern.
Over 1.5 mfuate bayern, real madrid na PSG

Odds 5 za uhakika
Weka 1.5 kwa hizo timu tatu juu.
DC kwa Leeds, Roma na Monaco
 
Back
Top Bottom