Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

na matokeo ya awali yanajumuishwa au yale huwa yanafutwa
 
eeeeh mungu wa neema ndogo ndogo na kubwa kubwa barik korokoro hili maana vipgo vimenichanganya
 
hii website ya ghana pia wako vizuri
search google betensured
utapata
kuna ambazo wanatoa free kaangalieni
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-28-11-25-31.png
    101.1 KB · Views: 42
Wewe ndo hauna kazi au elfu5 yako ndo haina kazi???? Kama ni wewe tafuta kazi ila ni elfu5, jifunze kupitia posts za nyuma

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
meridian acheni kutoa mbwa basiiiiii daaaah...... kubeti tubeti kwa shida na kuliwa tuliwe WTF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…