Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

uploadfromtaptalk1472335023802.png
uploadfromtaptalk1472335023802.png
 
Atletico Madrid ni Wasengerema mamaeeeee na nawaombea washuke darajaa 5,000/= yangu inaniuma sana [emoji19][emoji19][emoji19]
 
BARUA YA WAZI KWA RASHFORD
Mpendwa dogo rashford...natumain now upo ktk furaha hapo katika vyumba vya kubadilishia nguo vya uwanja wa hull city..
dogo rashford naandika barua hii nikiwa bado natafakari ulichofanya ktk dakika ya 93... kiufupi goli ulilofunga lilinifanya nipige kelele saana huku baadhi ya wadau wakiwa wanashangaa maana hawakujua kilichopo nyuma ya pazia..rashford umenifanya leo niweze kulala usingiz nilioukosa kwa muda mrefu maana asubuhi ya kesho anakuja mwenye nyumba kuchukua kodi yake.. nashukuru goli lako limenipa kodi ya nyumba..nashindwa nikushukuru vipi..zaid ya kusema asante.. thanks a lot mr rashford..!!!
Sasa blazaa ule mpango wa vocha vepeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
waungwana ninaswali kwenu kuna mechi moja kama inavyo onekana kwenye picha(namba 11) ilikua cancelled ila home team ilikua imesha pata goli moja na ni hiyotu ndio iliyo shikilia mkwanja wangu.

SASA SWALI LENYEWE NI KWAMBA. KUNA MTU YEYOTE ANAWEZA KUWA ANAJUA TAARIFA ZOZOTE KWAMBA IMEPANGIWA KUCHEZA TENA LINI?

JE NI NDANI YA SAA ISHIRINI NA NNE TANGU IAHIRISHWE AU IPOJE WAKUU.
au niwapandie hewani wenye kampuni?
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-28-07-37-46.png
    Screenshot_2016-08-28-07-37-46.png
    30.1 KB · Views: 34
waungwana ninaswali kwenu kuna mechi moja kama inavyo onekana kwenye picha(namba 11) ilikua cancelled ila home team ilikua imesha pata goli moja na ni hiyotu ndio iliyo shikilia mkwanja wangu.

SASA SWALI LENYEWE NI KWAMBA. KUNA MTU YEYOTE ANAWEZA KUWA ANAJUA TAARIFA ZOZOTE KWAMBA IMEPANGIWA KUCHEZA TENA LINI?

JE NI NDANI YA SAA ISHIRINI NA NNE TANGU IAHIRISHWE AU IPOJE WAKUU.
au niwapandie hewani wenye kampuni?



[emoji15][emoji15] duuuh, odds 400+ ... kazi kubwa sn hiyo Chief ...

Aisee umetishaaa sn mzazi.

Cjui utaratibu wa premierbet ... ingekuwa Meridianbet unge-turbo na mambo mengine yangeendelea.
 
waungwana ninaswali kwenu kuna mechi moja kama inavyo onekana kwenye picha(namba 11) ilikua cancelled ila home team ilikua imesha pata goli moja na ni hiyotu ndio iliyo shikilia mkwanja wangu.

SASA SWALI LENYEWE NI KWAMBA. KUNA MTU YEYOTE ANAWEZA KUWA ANAJUA TAARIFA ZOZOTE KWAMBA IMEPANGIWA KUCHEZA TENA LINI?

JE NI NDANI YA SAA ISHIRINI NA NNE TANGU IAHIRISHWE AU IPOJE WAKUU.
au niwapandie hewani wenye kampuni?
mkuu, kama inavyoonyesha, hii mechi iemkuwa ABANDONED, so iitachezwa tena kuanzia dakika iliposimama...mechi hizi huwa hazikai muda mrefu sana...mara nyingi huchezwa ndani ya saa 24...na huenda ikachezwa leo...huwa haiwekwi kwenye fixture tena, so sio rahisi kujua itachezwa muda gani....wewe endelea kuchungulia mkeka wako ukionesha alama ya green kachukue mpunga wako.
upload_2016-8-28_10-41-42.png
 
Back
Top Bottom